Bob_Dash
Member
- Nov 1, 2010
- 90
- 13
Nilijaribu kufuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi lakini sikuwahi kuona wala kusikia jina la Kingunge kutajwa kati ya majina ya wagombeaji, sasa huyu mzee Dodoma kafuata nini? Nimeona baadhi ya picha za wabunge huko Dodoma na huyu mzee yumo pia, hivi bado ni mbunge? na kama ni mbunge ana wakilisha jimbo gani?