Namsikiliza Jakaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namsikiliza Jakaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkimbizi, Nov 18, 2010.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niko namsikiliza nisiyemtambua na kumpenda. Simkubali na kumjali. Namsikiliza huku nakitamani kurushia chupa hii TV. Kweli zama zenu CCM ziko ukingoni. Sasa na huyo mama Spika alikuwa ananikera toka naibu. Naionea huruma TV yangu.
   
 2. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi mweyewe namchech ila in mind nimekwisha mtwanga na chupa ya Konyagi
   
 3. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii chuki sio ya kidini wala kikabila. Ni chuki ya kutowajibika, wizi, upendeleo, matumizi mabaya, na tofauti ya maskini na tajiri.
   
 4. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alichokiongea sasa kuhusu SERIKALI YA CCM kimeniongezea chuki. Nisamehe mod, **** U CCM
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahaha hiyo kitu ipo kwenye nafsi yako buddy, udini ukikujaa unajua unashindwa kuvumilia
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amesema: Watatoka, watarudi!
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lazima watarudi hamna bunge lingine Tanzania HEHEHE
   
 8. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aibu itawashika miaka mitano ijayo. Na 2015 ndio anguko lao
   
 9. m

  mzungukichaa Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Ghadhabu yangu nazani inawazidi nyie wooote...maaana huyu kilaza anaongea vitu bila fikira (ana ufinyu wa fikira). Most of the time huwa napima mazungumzo ya kikwete na nimegundua kwamba huyu jamaa ana ufinyu wa fikira....Hebu Ona alichosema hapa
  'Tumefanya vizuri sana upande wa michezo,tumeleta makocha wa kizungu kufundisha timu zetu..'...Hivi kweli michezo ni mpira tu ? hapa issue ni kuweka policy nzuri kuhakikisha michezo yoote inainuka.....Hii ni akili mgando kabisa....
   
 10. k

  kambipopote Senior Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Poleni wana JF wote tunaokerwa na huyu bin-dam, japo kuwa bado nipo oficini nasikia kuchefukwa roho, ningekuwa home ningetapika, vp CHADEMA wapo mjengoni? Taarifa tafadhali:israel:
   
 11. m

  mzungukichaa Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Wametoka nje......Niko happy na TV nimezimilia mbali huko....inanichefua....
   
 12. k

  kambipopote Senior Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyo nae hana jipya, michezooo michezooo, mbona hatuambii mafisadi watachukuliwa hatua gani? Michezo akacheze na familia yake.:nono:
   
 13. k

  kambipopote Senior Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nawa gongea seknsi mnooo. namie nazima li kompyuta nakwenda kunywa bia. Mzungukichaa senki yuu saana, kwa taarifa, niliisubiri kwa hamu sana:hippie:
   
 14. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Wewe ulitaka aseme nini wakati Makamba ndie kamuandikia??? Haya ya kawaida tu kwa rais ambae hajui kufikiri na washauri wake na waliomzunguka ndo usiseme kabisa.
   
 15. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ipo siku tunaisubiri. Siku ambayo hakuna atakayeamini(mafisadi wanaojifanya hii nchi yao)
   
Loading...