Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
..........Dk. Shein katika hotuba zake amekuwa akiahidi kupambana na rushwa, tatizo ambalo limeathiri sana wananchi wa Zanzibar hasa wenye kipato cha chini.............. :: IPPMEDIA
Huku haya yakijiri, msanii wetu anaendelea na porojo za ahadi za kufikirika. Ahadi alizotoa wakati wa kampeni ni nyingi na zilikuwa zinatosha sasa leo ameongeza zingine bila kuonyesha msisitizo unaostahili kwenye mapambano ya rushwa, wote tunajua na tunaamini kuwa kama raslimali zikisimamiwa ipasavyo ahadi alizotoa kwenye kampeni angeweza kuzitekeleza.
Huyu ndiye rahisi wetu bwana, anajua kuwa theluthi moja ya mapato ya serikali hupotea kwenye rushwa na hana wasiwasi na hilo kwani OIC wamemwahidi misaada kede kede akipitisha mahakama ya kadhi