Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,158
- 4,449
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.