Pinda aapa bila Msaafu wala Biblia

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Nimeipenda hii kwani huwa wanaapa na vitabu vitakatibu kisha wanakuja kufanya kinyume chake
 
Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,237
318
Kuapa bila msahafu wala Biblia maana yake nini? Ninavyojua ni kuwa kiapo ni kumweka Mungu kuwa shahidi wa unayosema wakati wa kiapo. Akikiuka kiapo atawajibika kwa nani?
 
ifolako

Member
Nov 8, 2010
98
0
Kwani alisema yeye anaimani ya dini gani??Msimhukumu inawezekana akawa kama Kingunge,dini pembeni!
 
asha ngedere

Member
Nov 6, 2009
92
11
:bowl:mmesahau yaliyompata kaijage aliposahau cd ya wimbo wa taifa siku ya staz na moroko? sasa tumsake kaijage mwingine aliyesahau misahau chamwino!!!!:A S angry::smile-big:
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
14,374
12,748
Anajaribu kufukia kosa la bosi wake kuapa bila msahafu ili ionekane kwamba kuna kuapa HURIA nchini
 
We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
46
Wadau mnaojua sheria, hii ya kuapa bila kitabu cha dini hali wewe ni mwuumini wa dini fulani, ikoje kikatiba hii? Katiba inasema nini kuhusu hili?
 
Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,809
4,891
nilikuwa sijapiata hii
kwa hiyo kaapa bila kitabu kitakatifu!!!!?

dhamira inalia kwa mbali kwa hawako pale kwa ridhaa ya watz bali kwa wizi
 
Yetu Macho

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
224
31
Pinda ni mtu ambae siku zote amekua na guilty consiousness kubwa sana..

Anaogopa kumhusisha mnyaazi mungu kwenye udhalimu na ghilba walizofanya. Anatambua uwepo wao madarakani hauna chembe ya baraka za mungu maana ni kinyume kabisa na mapenzi ya allah. Aanogopa adhabu kali zitazowaangukia kwa kuendelea kumdhihaki mola.

Mungu aliwapa watu nguvu na mgombea wetu na watu wote tulimchagua ila utawala huu kwa ghiliba, mabavu na hila, wameweka utawala wao. Wanajua fika kwamba mungu hakupanga wawe wao...

Pinda anahofu.. ingawa tunamjua ni mkristo, ameshindwa kumhusisha muumba kwenye kiapo chake maana anajua hajaipata hiyo nafasi kwa mipango ya mungu.
 
Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Kwani alisema yeye anaimani ya dini gani??Msimhukumu inawezekana akawa kama Kingunge,dini pembeni!

Ni mkatoliki. alikuwa anasali kanisa katolik Hananasif Kinondoni hadi alipoteuliwa kuwa PM. sijui kama bada anasali pale. Kama amebadilika basi tungetangaziwa, au siyo
 
mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
>>>Du hii sikuishtukia kwa kweli!!
>>>Kumbe ilikuwa hivi!!!
>>> Je hana dini au???
>>>Kuapa bila msahafu wala Biblia maana yake nini?
>>> Inamaana naye kashakuwa mpagani??
Maana ninavyojua yeye ni Mkristo kama alivyojinasibu wakati alipochaguliwa mara ya kwanza Tena akatuambia ni mtoto wa Katekista. Katekista ni kiongozi muinjilist wa KIKATOLIKI.
>>> Nahisi kuna madhambi yanakuja mbele na yeye anayajua ndo maana ameogopa kufanya hivyo....kitu ambacho si afiki hata kidogo
 
NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
630
Pinda ni mtu ambae siku zote amekua na guilty consiousness kubwa sana..

Anaogopa kumhusisha mnyaazi mungu kwenye udhalimu na ghilba walizofanya. Anatambua uwepo wao madarakani hauna chembe ya baraka za mungu maana ni kinyume kabisa na mapenzi ya allah. Aanogopa adhabu kali zitazowaangukia kwa kuendelea kumdhihaki mola.

Mungu aliwapa watu nguvu na mgombea wetu na watu wote tulimchagua ila utawala huu kwa ghiliba, mabavu na hila, wameweka utawala wao. Wanajua fika kwamba mungu hakupanga wawe wao...

Pinda anahofu.. ingawa tunamjua ni mkristo, ameshindwa kumhusisha muumba kwenye kiapo chake maana anajua hajaipata hiyo nafasi kwa mipango ya mungu.

Could be right bro. Wengi wanasema hivyo
 
Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
202
yeye ni Mbunge wa Katavi?? hili neno nasikia linatokana na Mzuka au mzimu uliokuwa na nguvu huko kwao sasa inawezekana mashati ni kutoshika Kitabu cha DINI>>>>:A S angry:
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
18,318
16,672
Anajua alichowafanyia wananchi wa jimbo la Sumbawanga Mjini, kisa kutishiwa na JK kuwa asipochakachua ataukosa u-PM
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom