CHADEMA kuleta hoja ya kumuondoa Kikwete madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kuleta hoja ya kumuondoa Kikwete madarakani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by AMARIDONG, Nov 18, 2010.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
  ""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.
  (2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba Rais-
  Sheria ya ….
  (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
  (b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
  (c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano"
  JAMAA HAFAI KWANZA AMEVUNJA SHERIA KATIKA KUINGIA MADARAKANI NA PILI ANAKIDHLILISHA KITI CHA URAISI SASA HUU NI WAKATI WA UPINZANI WA KWELI NA BINAFSI NAWAUNGA MKONO CHADEMA ENDELEENI MBELE HUYU MKWERE HATUMTAKI.
   
 2. October

  October JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wazo Zuri sana lanini nionavyo ni kwamba Huyu Matheee Makinda ataufunga Mjadala kwa Speed ya light.
   
 3. k

  kim jong ii Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Riwaya za Abunuwasi
   
 4. i

  ifolako Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mleta hoja ni mufilisi,hana jipya.Fanya kazi udumishe kipato chako achana na ndoto za abunuwasi kwani haitatokea ata siku moja wewe kuwa rais never ever!
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 83,700
  Likes Received: 52,904
  Trophy Points: 280
  Waupeleke bungeni tu na CCM watajimaliza wenyewe kwa wananchi kwa kutumia wingi wao kuukataa.............na kampeni ya kuwaondoa CCM wote madarakani itakuwa imeaanza.....................

  Hii ni hoja yenye mashiko JK kavunja katiba kwa kuiba kura sasa ushahidi mwingine tunataka utoke wapi?
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  CUF ,TLP,NCCR-MAGEUZI,UDP na CCM watalipinga kwa nguvu zote!
   
 7. W

  We can JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lazima watumie na akili, nguvu peke yake ni sawa na kuvuta kamba mbovu kwa nguvu huku ukiwa ukingoni kwa ukuta wa Ujerumani
   
 8. M

  Mwapachu Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinacho niuzi ni jinsi CUF walivyodanganyika, embu angali Seif kadanganywa na u makamu wa rais huu ni uchu wa madaraka na sio upinzani sas yeye ni mtumishi wa serikali ya CCM lazima aitete serikali na sio wananchi sasa maanake nini? Asinge kubali angebakia kwenye upinzani wana wabunge wa kutosha Zanzibar upinzani halisi ungeanzia bungeni. Sasa hivi yupo kwenye magari ya serikali tuangalie kama atawaona wana CUF au ndio kesha jiunga na CCM kinyemela
   
 9. coby

  coby JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mchakato ni kuwageuza hao wote kuwa WAPINZANI huku Chadema ikishika hatamu kwa speed ya light
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Sio Ibara ya 46 bali ni Ibara ya 46A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. Ni vizuri kifungu hicho kikatumika angalau mara moja hata kama haitawezekana kumwondoa, kwani kiliwekwa cha nini?
   
 11. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maalimu ndicho alichokuwa anakitaka na si upinzani wa dhati,nawaonea huruma watu ambao ndugu zao wamepoteza maisha kwa ajili ya kutetea CUF huko Zanzibar na wengine waliopata vilema vya maisha,Seifu kawatupa yeye anaishi kwa raha mustarehe,hizi ndio siasa za waswahili
   
 12. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  cuf kwishny wanatafuta kuibuka kwa mgongo wa ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. K

  Kachest Senior Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Seif ana akili anaweza fight to humo humo CCM kama alivyofanya Odinga alipounganisha chama chake na KANU hali akajiondoa KANU sasa ni kama imekufa, lakini kwa Seif hawezi kwani hata umri wenyewe umemtupa mkono, amebakiza blabla kwa Mh. Mrema wakati wa kampeni alisema jamani mimi ni tembo mzee nimerudi nyumbani naomba huruma yenu hata kama ni kufa nikafie bungeni, hapo unategemea nini kwa watu kama hawa?
   
 14. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaza buti wanaCDM!!!!!! Hapa mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!
   
 15. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia seif anavyokula kwa raha zake. CUF kwisha kazi. Nawashauri CUF watafute viongozi wengine ambao ni wapinzani wa kweli. Seif na wenzake wamewauza wanapigania haki wa CUF. Eti CUF ni chama cha upinzani. Hakuna kitu kama hicho tena. Exhibit hii hapa
   

  Attached Files:

 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,857
  Likes Received: 2,020
  Trophy Points: 280
  Hiyo picha inaonyesha kuwa sasa CUF si wapinzani tena. Kuna Thread Pasco amesema Upinzani sasa ni Chadema. Kinachonifurahisha mimi ni kuwa CCM inauwa vyama vyote vya upinzani na kubaki na mpinzani mmoja tu (CDM) badala ya kuwa na utitiri wa wapinzani!!
   
 17. g

  grandpa Senior Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waipeleke hiyo hoja bungeni. Tunajua CCM na vibaraka wake wataipinga kwa nguvu zote and most probably Spika ataizima lakini ujumbe itakua imewafikia wananchi kua kuna watu hawakubali uchakachuaji uliompa Kikwete Urais. Hapo message sent and definitely delivered
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu chadema... Tuwe makini na mambo mengine kwani vitu vingine vipo kwenye countries zanye justice hapa tanzania ipo?

  Hata lewis makame was once a man with integrity, sasa hivi he is far worse than fr. Sixtus kimaro
   
 19. k

  kambipopote Senior Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Yaani Mwapachu hawa CUF ni kichefuchefu mnooo. Sasa wanataka kutuletea na huku bongo, na nahisi jk atampa madaraka Lipumba na hapo ndo itakuwa mwisho kabisa wa CUF, si wamewagundua kuwa wana njaa na sio uchungu na nchi kama walivyokuwa wakidai. Kweli NJAA MBAYA:hippie:
   
 20. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  utapata burevidonda vwatumbo kwakiraunachofikiri kuwakiwezekane pabayaunapotakakugusa unajuwa? ataikiruhusiwakwakura ccm wakowangapi?mjengon
   
Loading...