WANASHERIA 2saidieni Juu ya Hili.?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,537
1,653
Ukweli binafs naamini wananchi wengi ha2na elimu ya URAIA,hvyo inapelekea wengi wasiojua umuhmu wa kupga kura hawapgi kura.je katiba inasemaje kama cc 2kiamua kwenda na kutoa elimu juu ya umuhmu wa kumchagua kiongozi wanaemtaka!Binafc naamini 2mechaguliwa viongozi 2cowapenda kwa kutojua umuhmu wa kura yake.Nahc ninao uwezo wa kulikomboa taifa langu kwa kuwaelimisha VIJANA.
 
Una haki kwani ibara ya 18 ya Katiba inakupa haki ya kutoa, kutafuta na kusambaza habari. Ibara ya 26 inakutaka kuhakikisha kuwa katiba na sheria ya nchi zinafuatwa na kuheshimiwa na watu wote pamoja na serikali. Ibara ya nane inasema kuwa mamlaka ya nchi yanatokana na wananchi na wao ndio wenye mamlaka ya kuchagua serikali yao. Kwa ufupi si tu unaruhusiwa bali pia una wajibu wa kutoa elimu hiyo hivyo kimbia mwanakwetu.
 
Back
Top Bottom