Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,363
- 39,100
Habari zinaingia kuwa jengo linaweka moto Posta Mpya mjini Dar .. la Malaseko!!
duu!, yaani sisi tuko home no news, ama kweli information is power, thanks Mzee Mwanakijiji for the power within jf.Ni jengo hilo la Imaleseko.. najaribu kupata taarifa zaidi.. sijui ni jengo zima, sehemu au whatever si unajua tena mtu kaona moto basi habari zinakuwa sketchy!