Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi wanajamii hivi huu ushindi wa kishindo ndiyo upi huo? Je ni wa kishindo kwa sababu alishinda kwa kura 61% au kwa mazingitra ya utata wa matokeo yaliyokuwa yanatangazwa na NEC? Nipi hapa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa Kikwete:- HIVI wewe RAIS wa Tanzania UNA uchungu kweli wa TAIFA lako la Tanzania?, Au wewe sio RAIA au Huna ASILI ya hata moja ya Tanzania? HUoni UCHUNGU jinsi MALI na Rasilimali za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sasa tujiulize katika ndoa tuliyofunga na CCM kwa miaka 50 sasa watoto hawa wawili tuliozaa(UMASIKINI na UFISADI) ndio watoto tutakaojivunia kwa miaka yote ya maisha yetu? Je ni mtoto gani atakaefata?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Uongozi Ndio Tatizo Inchini Kwetu. Historia ya Uongozi Bora Tanzania Haipo Upande wa CCM Kabisa. Tumeona Jinsi Gani Wanachukua Hizi Nafasi za Uongozi kwa Sherehe na Familia Zao Kufanya Mapati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi wana jamii uchaguzi unaofuta wa mwaka 2015 utzkuaje?kwa sababu ccm na uchakachuaji kura wao wameipata freshi mwaka huu na pia chadema imeonesha msimamo wake wa kuipigania Tanzania itoke...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la Jumatano Dec 8 - Dec 14 kuna nukuu moja kwenye ukurasa wa 3 makala ya "Njama za Mafisadi Kuimaliza Tanesco" ambayo ningependa tuijadili na kuona hatma ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car: HIVI KWELI HAWA VIONGOZI WANAFIKIRI VIZURI :A S 109: NIMETOKA KWANGU SAA 11.30 ALFAJIRI NAINGIA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walifikisha ujumbe maalum kwa njia ya mabango kwa Waziri Mkuu kuwa wanalala nje. Hii ilitokea wakati Waziri Mkuu akishiriki katika ufunguzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilikuwa natafakari last time...jk angeweza kuwa raisi mwaka 1995 kama mwl. asingewazuia na kuwaambia kikwete na kundi lake kuwa bado hawajakomaa kua viongozi wa nchi...lakini je mustakabali wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekumbuka mwaka 2005 ccm walikuja na kauli mbiu nzuri sana pengine nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea nchini mwetu,watu wakalainika kwa kauli mbiu tu bila hata sera...tukaichagua kwa kishindo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jk
Lini hasa Mwanza itakuwa Calfonia kama ulivyoahidi mwaka 2005 wakati wa Kampeni jijini Mwanza. Natumaini pia bado unakumbuka ahadi yako ya mwaka huu ya kuigeuza Kigoma kuwa Dubai.
0 Reactions
0 Replies
898 Views
NIPO NAFATILIA SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA,ILA NIMEANGLIA ITV,MTANGAZAJI HUKO NAONA ANASEMA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA(japokuwa ni sawa,ila hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara)nimejaribu...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa jinsi utendaji wa Mh. Pinda unavyokatisha tamaa, ni bora William Lukuvi ndiyo angekuwa Waziri Mkuu badala ya Pinda.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimezaliwa siku ya kuzaliwa chama cha mapinduzi CCM, lakini naona kama Mungu alifanya makosa kwangu mimi maana sasa ni miaka 33 lakini nazidi kuwa masikini tu, nazidi kuwa mnyonge na kila wakati...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
49 years of fighting the three enemies By Editor, The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania 9th December 2010 Tanzania is today marking 49 years of Tanganyika’s independence from colonial rule...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
The oil giant Shell claimed it had inserted staff into all the main ministries of the Nigerian government, giving it access to politicians' every move in the oil-rich Niger Delta, according to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimeshangazwa sana kudaiwa ada ya kupaki gari katika fukwe za kokobeach maeneo ya oysterbay. Mkusanya ada huyo ni mfanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya oysterbay guard. Baada ya kumhoji sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wananchi wasiburuzwe kudai Katiba mpya -Shivji Thursday, 09 December 2010 19:59 newsroom...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
By: Petronel Smit 7th December 2010 JOHANNESBURG (miningweekly.com) – Exploration and development company Obtala Resources announced on Tuesday that it was among three bidders...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…