Pumbazo la mjinga

Frank mushi

New Member
Dec 10, 2010
2
0
Sasa tujiulize katika ndoa tuliyofunga na CCM kwa miaka 50 sasa watoto hawa wawili tuliozaa(UMASIKINI na UFISADI) ndio watoto tutakaojivunia kwa miaka yote ya maisha yetu? Je ni mtoto gani atakaefata?
 
sijui atafuata nani!?
nachojua ufisadi na umasikini ukiwa mkubwa sana unafuata UPORAJI! Ujambazi na Uwizi!
 
Sasa tujiulize katika ndoa tuliyofunga na CCM kwa miaka 50 sasa watoto hawa wawili tuliozaa(UMASIKINI na UFISADI) ndio watoto tutakaojivunia kwa miaka yote ya maisha yetu? Je ni mtoto gani atakaefata?Mtot atakayefuata mkuu ni VITA. Kundi la masikini litachoshwa na huo umaskini huku ukitambua kuwa ufisadi chanzo kikuu, suluhisho itakuwa kupigana na utawala aka mafisadi. Siku zao za kupita na ma-vogue na ma-V8 mitaani zinahesabika, karibu tutaanza kuwapopoa na mawe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom