Mara Dowans, mara Rostam, mara LOwassa- Kikwete Kweli wewe una UCHUNGU wa TAIFA HILI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mara Dowans, mara Rostam, mara LOwassa- Kikwete Kweli wewe una UCHUNGU wa TAIFA HILI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LGMJAMII, Dec 10, 2010.

 1. L

  LGMJAMII Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa Kikwete:-

  HIVI wewe RAIS wa Tanzania UNA uchungu kweli wa TAIFA lako la Tanzania?, Au wewe sio RAIA au Huna ASILI ya hata moja ya Tanzania?

  HUoni UCHUNGU jinsi MALI na Rasilimali za Tanzania zinavyoliwa na kuibwa waziwazi?, Wewe kweli ni mtoto wa kitanzania?

  Basi kuwa na hata IMANI KWA MUNGU ili UONE UCHUNGU.

  Mara Dowans, mara madini, mara richmond wewe UPO TUUU, umekaaa kimya tu. Waambie basi hata hao rafiki zako rostam, lowassa na wengine uliowasupport hata kuwa wabunge.

  Husione Umefika hapo, Husione watanzania ni watu wa kuropoka na baadae kukaa kimya, KIzazi hiko KIMEPITA.

  HUSIJE KUSHANGAA siku NGUVU YA UMMA IPO NJE YA GETI hapo IKULU.

  Kwa hali kama hii TUSIJE KUSHANGAA hawa viongozi mashetani, SIKU KUINGIA MKATABA WA KUANGAMIZA Watanzania ili Waje Waishi wao pekeyao.

  Eee MUNGU TUTAZAME kwa macho yako ya huruma, OKOA Watu wako na hawa MAFISADI MAPAPA, MANYANGUMI na hata
   
Loading...