Uchaguzi mkuu 2015: CCM v/s CHADEMA...

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Hivi wana jamii uchaguzi unaofuta wa mwaka 2015 utzkuaje?kwa sababu ccm na uchakachuaji kura wao wameipata freshi mwaka huu na pia chadema imeonesha msimamo wake wa kuipigania Tanzania itoke katika mikono ya mafisadi na watu wasioitakia mema,kama kawaida vyama vingine vya upinzani navyo vimesindikiza...ila je mwaka 2015 itakuaje?ccm wakichakachua wanayo....chadema wakilegea imwkula kwao...cuf watazidi kupotea?mhh????:A S-danger:
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,170
10,764
ccm wameipata fresh kivipi? kwani wabunge wa chadema wanaweza kufanya kitu gani bungeni zaidi ya kuongea? maana hawawezi kuzuia miswaada, wala kuipitisha.

It is high time kujenga nguvu, haya mambo ya migawanyiko tutaona mwisho wake, mtakimbia humu!
 
Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
hali ya kisiasa huwa inabadilika kulingana na wakati na muda, sio rahisi sana kujua hali ya kisiasa ya mwaka 2015 lakini uchaguzi mkuu wa mwaka huu umetoa taswira kwamba kutakakuwa na changamoto nyingi kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Mabadiliko ya kisiasa yatategemea sana jinsi CCM itakavyojipanga vizuri kukabiliana na matatizo ya wananchi na kutimiza ahadi zake. CCM akijipanga vizuri upinzani utapungua nguvu na CCM ikijipanga vibaya upinzani utaimarika na kuwa imara. Hata hivyo, naamini CCM itatumia kwa uangalifu kipindi cha miaka mitano ijayo kurekebisha kasoro za kisiasa zilizojitokeza na kuwa imara.
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
1,299
ukimwamsha aliyelala utalala wewe... nyamaza tuone uchaguzi mkuu wa CCM 2012.... ndio tutajua ushindi utapatikanaje
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
306
ccm wameipata fresh kivipi? kwani wabunge wa chadema wanaweza kufanya kitu gani bungeni zaidi ya kuongea? maana hawawezi kuzuia miswaada, wala kuipitisha.

It is high time kujenga nguvu, haya mambo ya migawanyiko tutaona mwisho wake, mtakimbia humu!

Well said !
 
Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,609
1,737
Tatizo mlilonalo hamuelewi kuwa bado Tanzania hakujafanyika uchaguzi wa haki tokea hapo Chama kimoja hadi hii leo a vyama vingi ,sasa mnapojiona kuwa mna nguvu au mnapendwa sijui mmekokoa viti vingi ,bado ushindi ni uleule wa uchakachuaji ,amepokonywa huyu umepewa wewe ,amepunguziwa yule amezidishiwa mwengine ,halafu mnajisifu ,jamani wacheni hizo kelele ,kwanza let us fight for New KATIBA ,wacheni tupiganie kutenganisha vyombo vya dola na siasa ,tukisha fanikiwa hapo ,ndio tunaweza kujisifu au mnaweza kujisifu ,ila haya makelele yenu kwa mwendo mdundo huu tutakuwa ni kama kukusanyika na kunywa mvinyo.

Yaani ni ile hadithi ya mfalme alieadhiriwa na mtoto mdogo kuwa hajavaa nguo ,nasi vyama vya upinzani bado hatujavaa nguo ,mbali na majisifu ya kila mmoja akidai kuwa yeye ndio mpinzani nambari one.
 
Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
ccm wameipata fresh kivipi? kwani wabunge wa chadema wanaweza kufanya kitu gani bungeni zaidi ya kuongea? maana hawawezi kuzuia miswaada, wala kuipitisha.

It is high time kujenga nguvu, haya mambo ya migawanyiko tutaona mwisho wake, mtakimbia humu!

Its a good anticipation you have there...ila usiseme kuwa wabunge wa chadema hawawezi kufanya kitu huko bungeni hvi...rudi nyuma na historia kidogo...
Ni lowassa aliyesema kuhusu buzwagi na kuongelea mikataba ya madini?au ccm?au mbunge wa ccm?...HAPANA...ni Zitto na kutokana na kupaza sauti kwake watu wakafunguka macho kuwa waunde kamati ya kushughulikia hiyo mikataba pamoja na kuwa pia jamii ya kitanzania ikajua jinsi viongozi wake wanavyowachezea....
Pili,ni nani aliwataja viongozi wezi pamoja na kuianika akaunti ya epa..?ni ccm?...hapana ni Slaa...na kutokana na sauti yake ndiyo maana ile akaunti ikawa resolved na wakarudisha baadhi ya hela hata kama siyo zote ila wamejifunza kutoiba machana!!!
Ni wakina nani waliibana bajeti ya meghji na ufungaji wa mikanda watanzania?
Ebu tuweni rational ni Chadema iliyorise opposition Tanzania na ni Chadema wanaoinspire the better tommorrow for Tanzanian politics...mwaka 2005 watu wengi hawakujua hata neno fisadi lakini ni kna nani wameweza kuwafungua macho watanzania?wewe au?ccm au?
Think clear mate!!
 
Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
hali ya kisiasa huwa inabadilika kulingana na wakati na muda, sio rahisi sana kujua hali ya kisiasa ya mwaka 2015 lakini uchaguzi mkuu wa mwaka huu umetoa taswira kwamba kutakakuwa na changamoto nyingi kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Mabadiliko ya kisiasa yatategemea sana jinsi CCM itakavyojipanga vizuri kukabiliana na matatizo ya wananchi na kutimiza ahadi zake. CCM akijipanga vizuri upinzani utapungua nguvu na CCM ikijipanga vibaya upinzani utaimarika na kuwa imara. Hata hivyo, naamini CCM itatumia kwa uangalifu kipindi cha miaka mitano ijayo kurekebisha kasoro za kisiasa zilizojitokeza na kuwa imara.
Good...na watasoma kutokana na makosa yao...
 
STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,765
544
ccm wameipata fresh kivipi? kwani wabunge wa chadema wanaweza kufanya kitu gani bungeni zaidi ya kuongea? maana hawawezi kuzuia miswaada, wala kuipitisha.

It is high time kujenga nguvu, haya mambo ya migawanyiko tutaona mwisho wake, mtakimbia humu!

Nyinyi popo ndo mtaikimbia nchi, sijui kama mtaenda somalia au vp maana siku zote mnafikiri waTZ ni wajinga sasa wamemka mtakoma ubishi, hivi hamwezi kutoa jasho lenu mkala hadi mhongwe na kina RA na EL? Mtapotea mwaka huu.
 
Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,415
1,827
ccm wameipata fresh kivipi? kwani wabunge wa chadema wanaweza kufanya kitu gani bungeni zaidi ya kuongea? maana hawawezi kuzuia miswaada, wala kuipitisha.

It is high time kujenga nguvu, haya mambo ya migawanyiko tutaona mwisho wake, mtakimbia humu!

ccm kwa kuumia wingi wao bungeni watafanikiwa kupitisha au kuamua lolote. lakini ukae ukijua wa tz wa sasa wanafuatilia na ndo utakuwa wakati wao wa kujimaliza mkuu.
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,235
28,221
Vyama vya upinzani vinatakiwa viendelee kuibua hoja bungeni za kutetea maslahi ya umma na kufichua udhaifu wa seriksli bila ya kufikiria kama wabunge wa CCM watapinga au watawaunga mkono. Wanachotakiwa kufikiria ni kama Watanzania wanaiunga mkono hiyo hoja au hapana. CCM wataridhia hoja za wapinzani siyo kwa sababu ya kufikiria kuwa wabunge wa upinzani watawashinda katika kupitisha bali wataogopa kupoteza popularity kwa wapiga kura. Wapinzani wakiweza kufanya hivyo kwa umakini, pamoja na idadi yao ndogo, wataweza kuiwajibisha na kuiadabisha serikali dhaifu isiyo na historia ya mafanikio ya CCM.
 
Jeremiah

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
644
127
Anna Makinda asipokuwa makini ndiye ataimaliza CCM. Mkakati wowote kwa lengo la kuzima hoja ya wappnzani kwa sasa itakuwa kuwaongezea umarufu umarufu
 
Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Anna Makinda asipokuwa makini ndiye ataimaliza CCM. Mkakati wowote kwa lengo la kuzima hoja ya wappnzani kwa sasa itakuwa kuwaongezea umarufu umarufu

wananchi na wote kwa ujumla tunasubiria sana kuona utendaji kazi wa spika mpya....kama atakuwa kibaraka au atakuwa spika?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom