Watanzania tunajifunza nini kutokana na cable za usa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunajifunza nini kutokana na cable za usa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Dec 10, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  • JK alisema watapitia mikataba ya madini upya je tumefika wapi?
  • Je serikali injua hata wawekezaji wa tanzaniaa wanatumia mbinu hizi?

  • Hii imenikmbush waathirika wa tarime walichunika ngozisababu ya kutumiamaji yenye sumu iliyomwagwa na mgodi wa wawekezaji . Je issue hii imefikia wapi?

  • Hii inanikumbusha watu waliobabuka kwa kumeza fansidana sijui kama wapo walilipwa fidia.

  • Hapa shell walimtishia mwanasheria wa serikali ya nigeria asipofuta kesi wanaibua kashfa zake. Je hap tanzania wanasiasa au watendaji wangapi wanaogopa au kushindwa kufanya maamuzi sahihi na ya haki kwa kuwaogopa Mafisadi na magaeti

  • Je ni mataifa gani yana urafiki wa kweli na wa dhati kwa maendeleo ya nchi zetu za frica

  Tujadiliane kisiasa hizi cables za USA zinatoa somo,changamoto gani kwa taifa letu
   
Loading...