Uongozi Ndio Tatizo Inchini Kwetu. Historia ya Uongozi Bora Tanzania Haipo Upande wa CCM Kabisa. Tumeona Jinsi Gani Wanachukua Hizi Nafasi za Uongozi kwa Sherehe na Familia Zao Kufanya Mapati "Mzee Kawini". Mengi na Makubwa Wameharibu Inchini, Kitu cha Ajabu ni Kwamba Hakuna Mahali Tumesikia Wanataka Kurekebisha na Tukaona Kweli Wanajitahidi. Leo Hii Tunasikia Hawa Mawaziri Wakisema Nitajenga Barabara, Nitarekebisha Elimu Tanzania na Wengine Wanasema Hakuna Haja ya Marekebisho ya Katiba. Wanainchi Tuendelee Kuwachakunua Maneno Yao na Ahadi Zisizo na Mipango. Kama Kiongozi Anatoa Ahadi ya Kubadilisha Elimu Lazima Utetee na Ushahidi Jinsi Gani na Njia Gani Utatumia Kuirekebisha Hii Elimu. Haya Maneno na Ahadi za Uongo Tumezisikia Kila Leo na Kilichobaki ni Umaskini wa Hali ya Juu Unaendelea...Mawaziri Karibu Wote Pamoja na JK they don't Have Any Idea How to Build Policies and How You Implement Them. Most of Policies in Tanzania are Built in Dictatorial System, Only One Person Have a Say... How in the World This Will Work?
Kitu cha Kusikitisha ni Kwamba Tuna Miaka Mitano ya CCM na Wengi Tunauhakika CCM Watakacho Kifanya ni Kutumia Pesa Kununua Wapinzani na Kuendelea Kumaliza Demokrasia ya Inchi. Hii Ndio Kazi ya Usalama wa Taifa Tanzania Sio Kutafuta Criminals Bali Wapinzani. Kwanini Wananchi Walioelimika Wanaendelea Kukaa Kimya Katika Maswala Mengi Kama Katiba na Uchumi? Hii Inchi Imeharibika Sana na Sijui Kwanini Kama CCM Wameshindwa Wasiache Demokrasia na Wengine Waongoze? Huu Umaskini wa Mawazo Kama Haya Unatokana na Nini?
"Tanzania Ipo Africa Lakini Sio Lazima Ifanane na Rushwa za Kenya na Udikteta wa Uganda"