Tawi la chadema na idadi ya wanachama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tawi la chadema na idadi ya wanachama.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgombezi, Dec 21, 2010.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna yeyote ambaye anaweza kutupatia listi ya matawi ya CHADEMA pamoja na idadi ya wanachama wake. Ninaamini katika kufahamu hili inaweza kusaidia kuongeza kasi ya kufungua matawi na watu kujiunga na matawi yaliyo karibu. Lengo ni kufikia mwaka 2015 kuwa na wanachama wengi zaidi.

  JIUNGE LEO..........Jiunge na CHADEMA leo!

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. n

  nyantella JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  CDM itapata wanachama ikiacha itikadi na style ya AH kuwaahidi wa TZ ahera ya duniani kuingia madarakani.

  AH aliingia kwa gear kama hiyo hiyo wanayotumia CDM wajerumani kwa bahati mbaya wakamuamini na kumpa uongozi kupitia ballot box lakini alicho wafanya baadaye dunia mpaka leo ikisikia jina la AH ina zizima.

  CDM wanatumia uniforms za rangi ya NAZI, kasoro ile alama ya swastika, salam ya (peoples power) ni mkono ulionyooshwa kwenda mbele (na wakati mwingine ngumi), wa wa NAZI ni mkono ulionyooka kwenda mbele (Herr H!!!)
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,172
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe uko serious kweli hata Makamba hawezi kuwa na idadi kamili ya matawi yake na wanachama wake kwa vile kila siku matawi mapya yana anzishwa na mengine yanavunjika na kujiunga na kambi nyingine.

  Kifupi haitakusaidia kitu kujua idadi ya matawi kama unataka wewe jiunge na uanzishe tawi lako. Tawi langu linaitwa Kwa Zulu Natal.
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ujumbe wako nimuusoma lakini kwa bahati mbaya hauko mahala pake, sote tunazijua hila na mbinu ovu za kutaka kuendelea kula kwa mgongo wa ujinga wetu, mmenoa safari hii
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona hueleweki mkuu CDM ina wanachama wengi kuliko unavyofikiri.
   
 6. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante Quinine kwa kunifahamisha kwamba wewe ni mwanachana na tawi lako; ningependa kufahamu Zulu Natal liko wapi na kama unafahamu walau idadi ya wanachama.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wewe ndo uliyepola ubunge segerea???????
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mnalia lia sana lakini siku zenu zinahesabika! MCC wao wanatekeleza itikadi ya AH hadi sasa watz tumenyamaza wanadhani sisi mabwege....nasema siku zao zinahesabika hao MCC
   
 9. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  nyantella
  Junior Member

  Join Date
  Fri Dec 2010
  Posts
  4
  Thanks
  0
  Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power
  0
   
Loading...