Naomba iwekwe hapa orodha ya madiwani, wale wa kuchaguliwa na viti maalumu jijini Arusha. Na wanaoingia katika baraza kwa tiketi za ubunge. Idadi ya madiwani na uwiano wao kwa kila chama. Lengo ni...
Watu wengi wanajiuliza kwa nini CHADEMA wakubaliwe kufanya mkutano na maandamano na kisha zikiwa muda mfupi kabla ya tukio anaingia IGP kukataza maandamano?
Kuna tetesi kuwa walijua wazi kuwa...
Kwa nchi yetu kwa sasa imekuwa kawaida kwa kuto kufaata sheria. Ukianzia kwa mabasi. Basi likikamatwa ni unyanyasaji. Ukikamatwa kwa kutupa taka ni unyanyasaji. Ukidaiwa kodi na TRA ni...
Nimeangalia TBC 1 leo usiku saa 2:00pm tarehe 7/01/2011 kwakweli mimi ni mtanzania na pia namjua raisi niliye mchagua mwaka 2005/sio mwaka 2011! lakini kwa sura niliyoiona ya JK kweli kabisa hana...
Ukisoma Jinsi Gani Makampuni Hewa na Maafa Yake Katika Nchi Zetu za Africa Unaweza Ukaumia Vibaya na Haya Mateso. Kama Kuna Wananchi Wanafuatilia Kilicho Tokea Nigeria Miaka ya Hivi Karibuni, Soma...
From MARC NKWAME in Arusha, 7th January 2011
DAIKY NEWS
THE Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has dismissed pleas from the Home Affairs Minister, Mr Shamsi Vuai-Nahodha, who wants peace...
Habari Kutoka Hospitali ya Mount Meru Arusha ni Kwamba Baadhi ya Waliojeruhiwa Bado Wana Risasi Mwilini na Wamepewa Dawa za Kutulliza Maumivu. Mwanamke Mmoja Amepoteza Mimba kwa Kupigwa na...
na Bakari Kimwanga
WAFANYAKAZI wa shirika la umeme nchini (TANESCO) wameitaka serikali na viongozi wa kisiasa kuacha kuingiza maamuzi yao ya kisiasa ndani ya shirika hilo kwani...
Waziri mwenye dhamana ya mauaji,Shamsi V. Nahodha,ametoa kauli ambayo yeye mwenyewe anaonekana haelewi anachosema. Nahodha alisema vurugu za Arusha ni ugomvi wa kisiasa hivyo utasuruhishwa...
Naomba kuuliza swali hili kwa wote waliohusika kusababisha Mauaji ya Arusha Jana.
Je Familia zenu na jamaa zenu wapo salama??
My Take: Kwa hasira ya Watanzania walio wengi, kitendo cha mauaji...
watanzania sasa wameamka kutoka usingizini kuidai katiba mpya inayoendana na hali halisi ya wakati uliopo lakini ni suala la kusikitisha kuwa watanzania walio wengi hata rangi ya katiba...
Tumemdhalilisha Mchungaji Mtikila kwa kumpeleka mahakamani na huenda kesi bado hazijaisha, lakini vyombo vya kimataifa (wiki leaks) vinafunua mambo ya Tanzania ni njia kuu ya upitishaji wa madini...
Aliibuka ghafla na kupata umaarufu mkubwa kupitia vyombo vya habari. Huyu si mwingine bali mnadhimu wa jeshi ABDULRAHMAN SHIMBO. Sasa yupo wapi wakati mauaji yametokea Arusha? yupo wapi kutoa...
There has to reach a time when some Chaka Chua Matokeo and some bureaucratic rats and their sickening policies have to get it clear that Tanzania is not theirs to *** with, Tanzania belongs to...
Rais Mstaafu Mkapa alikuwa na nia madhubuti ya kuwasaidia waislam,kuna mengi amefanya ambayo si dhambi, mfano wa chuo kikuu cha Morogoro cha waislam, zaidi ni pale Waziri mkuu Sumaye alipoteua...
Wote tunajua yaliyotokea Arusha, sina haja ya kuyaelezea. Binafsi naamini tiba yake ni mass production ya elimu ya juu na si katiba.
Tatizo hapa, ni mindset ya wananchi. kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.