Yaliyotokea Arusha tiba yake ni mass production na si katiba

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Wote tunajua yaliyotokea Arusha, sina haja ya kuyaelezea. Binafsi naamini tiba yake ni mass production ya elimu ya juu na si katiba.

Tatizo hapa, ni mindset ya wananchi. kwa hiyokinachohitajika ni sakoloji ya ku reset mind nayo ni elimu ya juu. Tukiwa na vijana wa elimu ya juu kwa asilimia 80.

1. Ni vigumu kuwashawishi kuandamana
2.Polisi watakuwa wa elimu ya juu ambao watakuwa wanahoji maamuzi yao tofauti hawa wa sasa ktk tangazo hili la kazi chini

"A. Kwa waombaji wenye elimu ya kidato cha nne:
- Awe amemaliza kidato cha nne kati ya mwaka 2008 na 2010
na kufaulu angalau kwa kiwango cha daraja la nne, Pointi 28.

- Awe na umri kati ya miaka 18 na 25.

Waombaji wa kundi A na B wenye sifa zilizoainishwa hapo
juu wanatakiwa kupeleka maombi yao kwa njia ya barua
kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) katika Wilaya wanazoishi."
 
Yes, I have said.Tatizo si katiba, bali ni mindset. Kumbuka hata Ivory Cost wanakatiba inayosema ukishindwa uchaguzi unaachia ngazi ,lakini Gbagbo kagoma kutoka. Yes, I repeat it again.Katiba sio mwarobaini wa matatizo yetu.
 
wote tunajua yaliyotokea arusha, sina haja ya kuyaelezea. Binafsi naamini tiba yake ni mass production ya elimu ya juu na si katiba.

Tatizo hapa, ni mindset ya wananchi. Kwa hiyokinachohitajika ni sakoloji ya ku reset mind nayo ni elimu ya juu. Tukiwa na vijana wa elimu ya juu kwa asilimia 80.

1. Ni vigumu kuwashawishi kuandamana
2.polisi watakuwa wa elimu ya juu ambao watakuwa wanahoji maamuzi yao tofauti hawa wa sasa ktk tangazo hili la kazi chini

"a. Kwa waombaji wenye elimu ya kidato cha nne:
- awe amemaliza kidato cha nne kati ya mwaka 2008 na 2010
na kufaulu angalau kwa kiwango cha daraja la nne, pointi 28.

- awe na umri kati ya miaka 18 na 25.

Waombaji wa kundi a na b wenye sifa zilizoainishwa hapo
juu wanatakiwa kupeleka maombi yao kwa njia ya barua
kwa wakuu wa polisi wa wilaya (ocd) katika wilaya wanazoishi."

hii ndo nini?
 
Back
Top Bottom