Idadi kamili/sahihi ya madiwani Arusha

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Naomba iwekwe hapa orodha ya madiwani, wale wa kuchaguliwa na viti maalumu jijini Arusha. Na wanaoingia katika baraza kwa tiketi za ubunge. Idadi ya madiwani na uwiano wao kwa kila chama. Lengo ni 'forecast' ya mshindi wa umeya kama taratibu zote zikifuatwa. Asanteni waungwana.
 
Back
Top Bottom