Jamani shilingi isiwe nzito kuigeuza upande wa pili juu ya madai ya katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani shilingi isiwe nzito kuigeuza upande wa pili juu ya madai ya katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by santiva, Jan 8, 2011.

 1. s

  santiva New Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania sasa wameamka kutoka usingizini kuidai katiba mpya inayoendana na hali halisi ya wakati uliopo lakini ni suala la kusikitisha kuwa watanzania walio wengi hata rangi ya katiba wanayoipiga vita kuwa imepitwa na wakati hawaijui je, hata kama wakibadilishiwa katiba hiyo kuna uhakika gani kuwa mambo hayatabaki kuwa yaleyale wanayoyakataa sasa hivyi? Hapa suala ka msingi ni kudai katiba hii iliyopo itafasiriwe kisha wagundue makosa yaliyopo katika katiba hii na sio kupiga kelele kwa kuwasikiriza wana siasa bila kupima uzito wa jambo ndio wasimame kwa miguu yao wakiwa wanajua wanachokidai kiko je, na wanacho kikataa kiko je.
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Taratibu kijana, naona umekurupuka kutoka usingizini kwani rangi ya katiba inaingiaje hapa ?
   
Loading...