Nahodha umesahau mauaji ya pemba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahodha umesahau mauaji ya pemba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SIMONBICHWA S, Jan 8, 2011.

 1. S

  SIMONBICHWA S Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri mwenye dhamana ya mauaji,Shamsi V. Nahodha,ametoa kauli ambayo yeye mwenyewe anaonekana haelewi anachosema. Nahodha alisema vurugu za Arusha ni ugomvi wa kisiasa hivyo utasuruhishwa kisiasa! Nahodha haoni kuwa kama kweli huo ni ugomvi wa kisiasa,basi hakuwa na sababu ya kupeleka wauaji kutekeleza mauaji. Nahodha amesahau mauaji ya Pemba wakati yeye ni waziri Kiongozi wa Zanzibar? Wana JF,nyie ni maGREAT THINKER,let you Think Critically kuhusu huyu Nahodha!
   
Loading...