L Leornado JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,529 196 Jan 7, 2011 #1 Hana hata miezi tayari keshaanza kuonyesha makeke na chuki kwa raia iliyopitiliza. Kwa nini aliruhusu askari wauwe raia wasio na hatia?
Hana hata miezi tayari keshaanza kuonyesha makeke na chuki kwa raia iliyopitiliza. Kwa nini aliruhusu askari wauwe raia wasio na hatia?