Wazanzibar ni haki yetu kuulizwa kuwa Muungano tunautaka au vipi.Makubaliano ya Father K nikuwa Muungano ni wamuda mfupi tu. Yani miaka 10 tukiona una faida au hauna faida nilazima tulizwe...
Wasalaam,
Kumekuwa na wimbi la uundwaji wa serikali za Umoja wa Kitaifa kwa nchi za Afrika siku za karibuni. Serikali ya Umoja wa Kitaifa siyo kitu kigeni ila kilicho kigeni ni sababu mpya ya...
Dakika chache zilizopita serikali ya Kenya imefuta leseni ya kampuni ya 6969 ambayo imekuwa ikiendesha shindano la SMS ambapo watu wanatuma SMS kwa nambari hiyo na kuahidiwa kushinda milioni...
Michango ya mawazo wa waliohudhuria kongamano hili lililoratibiwa na Prof. Issa Shivji, Ndg.Jenerali Ulimwengu na Dr. Kitila Mkumbo ktk Ukumbi wa Nkrumah. Video kwa hisani ya Jamvini wa Youtube.
Ili watanzania tuweze kupata maendeleo na hatimaye kuifikia ndoto ya Maisha bora kwa kila mtanzania, tunahitajika utashi wa kisiasa kwa viongozi wetu. Utashi kwa maana ya uongozi unaongozwa kwa...
Wananchi walivyompata Oliver Cromwell - baada ya kufa.
About the English Dictator Oliver Cromwell and his execution - after death.
OLIVER CROMWELL (1599-1658), lord protector of...
Kuna tetesi kuwa waziri wa nishati na madini yuko Canada kwa ziara ya kikazi, ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kukutana na washiriki muimu katika sakata la Dowans, kuweka sawa mambo...
Maji safi ni muhimu kwa kila Binadamu.Picha hizi zinaonyesha hali hali ya upatikanaji maji katika Vijiji viwili,Solya na Kilimatinde huko Manyoni Mashariki,Singida.Mashine za Serikali hazifanyi...
Kuna tetesi zilizojitokeza kua kuna mikakati inayoandaliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kua ile kesi iliyokua inawakabili viongozi wa Chadema pamoja na wafuasi wao kua ifikapo tarehe 21 ya...
Sory G thnkers,
niko mwaka wa 3, namalza mwez 6, nimeona tangazo la kaz BOT, NATAKA KUOMBA! Wanataka Transcripts je, niambatanishe nn kwenye barua yangu?
Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
Kama sijakosea CCM na serikali yake wamesema kama kuna mtu hajaridhishwa na uchaguzi wa meya aende mahakamani,lakini kama nakumbuka vizuri Askofu Laizer alisema uchaguzi urudiwe na sheria...
Jamani mimi nashangaa kupanda kwa bei ya gesi ya kupikia kutoka 37000 mpaka 70000tsh
wakati tunaambiwa hii ni nishati mbadala ya kutunza mazingira badala ya kutumia mkaa au kuni.
Jamani mimi...
Katika kusoma posts mbalimbali nimekuta mh safiri_ni_safiri kaweka ahadi za Kikwete wakati wa kampeni 2010. Nimeona hizi zinastahili kuwekwa katika thread yake binafsi kwa ajili ya kumbukumbu...
Wandugu,
Hivi baada ya kelele zote za wanasiasa, wanazuoni, wanafunzi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla, za kutaka ufisadi ukomeshwe ili kuinusuru nchi, ni kitu gani kinamshinda jk kutoa tamko...
Ili tupate katiba mpya Tanzania inatubidi tuangalie ile damu iliyomwagika pale Arusha ndipo tujue ni katiba mpya ipi watanzania wayoihitaji, kwakua vitendo vilivyojitokeza Arusha ni uvunjwaji wa...
1- Elimu Bora.
2- Afya Bora.
3- Makazi bora.
4- Ajira za kutosha na zenye ujira bora.
5- Haki sawa kwa wote bila kubagua rangi, dini wala kabila.
Tunaimani kwamba serikali yetu inao uwezo...
Kwa kauli ambazo zimetolewa hivi karibuni na viongozi wa serikali baada ya maandamano AR nikuwa uchaguzi wa meya hautarudiwa, anayepinga aende mahakamani pia wamesema hawana mpango wa mazungumzo...
Baada ya serekali ya Jk kujitambulisha kwa wananchi kuwa inayumba yumba....ninaomba mnisaidie kuelewa haya!
1. Chikawe anaposema Sitta na Mwakyembe hawakufuata utaratibu wa kuongea na media...