Bofya:kwa watetezi wa mafisadi tu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bofya:kwa watetezi wa mafisadi tu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babu M, Jan 16, 2011.

 1. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  Maji safi ni muhimu kwa kila Binadamu.Picha hizi zinaonyesha hali hali ya upatikanaji maji katika Vijiji viwili,Solya na Kilimatinde huko Manyoni Mashariki,Singida.Mashine za Serikali hazifanyi kazi tena kutokana na ubovu hivyo watu binafsi wamewekeza za kwao na kuchaji shilingi 100 kwa Ndoo moja ya lita 20.Habari na Picha kutoka kwa Mdau Baby Bosco.
   
 2. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kero kubwa ajabu kwa taifa letu.
   
 3. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Tupo tunawaza kujenga Fly-Overs wakati hata matatizo ya msingi kabisa wala hatujui kama yapo
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Prof. Mwandosya na Mhandisi Gerson Lwenge wanasemaje??
   
 5. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tunashangalia miaka 50 ya uhuru................................
   
 6. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Maeneo ya makazi yachaguliwe kwa kufuata upatikanaji wa huduma muhimu kama maji, mvua za kutosha, kutokuwepo uwezekano wa mafuriko, udongo unaofaa kwa kilimo kwa wakulima, upatikanaji wa malisho kwa wafugaji n.k.
  Elimu na maarifa ya kuishi itolewe kwa wananchi ili wasiishi maeneo ambayo ni nusu jangwa huku wakilalamika shida za maji. Pia waelimishwe kutunza vyanzo vya maji na mazingira yao kwa ujumla.
   
 7. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Abudhabi wapo jangwani lakini wana maji ya kutosha...
  Tanzania tumezungukwa na mito na maziwa kila kona lakini hatuna maji ya kutumia wala kunywa....!!!!!!!!!!!1
   
 8. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Sehemu kama hii wangekuwa better off bila Mbunge hiyo pesa ya mshahara na land cruiser ikawasaidia.
   
 9. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikijiuliza viongozi wetu hawafiki sehemu zenye matatizo kama hizi au hawaoni hizi picha kwenye magazeti .Pesa ambazo tunataka kuwalipa Dowans zinaweza kujenga VISIMA 18,800 kwa thamani ya milioni 5 kwa kisima.Tutasubiri wafadhili waje kutusaidia wakati tukiangalia priorities zetu ni zipi tukaachana na vitu vya kujikweza na kuwashungulikia mafisadi, mambo kama haya yako ndani ya uwezo wetu.
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  KICHWA CHA HABARI NI MATUSI SIJAPENdA ESPECIAL MIMI SITETEI MAFISADI
   
 11. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Nilipoona hizi picha nilipata headache ya glafla...kama wewe ni kama mimi nilitaka kukuepushia matatizo.
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwanini ulifungua mkuuu inamaana unatetea mafisadi wewe!
   
Loading...