Kipi kitafuata umeya wa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi kitafuata umeya wa Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kivia, Jan 16, 2011.

 1. K

  Kivia JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa kauli ambazo zimetolewa hivi karibuni na viongozi wa serikali baada ya maandamano AR nikuwa uchaguzi wa meya hautarudiwa, anayepinga aende mahakamani pia wamesema hawana mpango wa mazungumzo. Sasa nauliza viongozi na/wana CDM wote kitakachofuata ni nini ? Je Maandamano mengine au tumesalim twende mahakamani '? Tupeane mawazo .
   
 2. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hakuna kulala mpaka kieleweke,maandamano yataendelea nchi nzima,hadi haki itendeke,the fight for freedom was for the right to think and do our own things,now the fight against goverment is for the equal justice and good government,,,strugle continues
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Lazima utarudiwa kwani Mayor atajiuzulu tu.
   
 4. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  kutokuandamana na kuenda mahakamani sio kusalimu amri bali ni namna nyingine na nzuri pia katika kudai haki.
  Kianacho takiwa ni kuangalia njia nzuri na bora zaidi ya kudai haki na kuwa wanacho hitaji kifikiwe.
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tumpe muda kidogo huyo kijogoo meya anayetaka kuongoza jamii iliyomkataa aweze kupata ushauri toka kwa wazee wa Arusha ili ajiuzulu apishe uchaguzi wa haki ufanyike bila mawaa.
   
 6. a

  arasululu Senior Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ajiuzulu haraka sana hatukumbatii uozo sisi
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Meya mteule hawezi kufanya kazi .Hadi sasa ameingia mitini na haonekani mjini. Nasikika analindwa . Nadhani ana hofu kuu.
   
 8. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chadema hawataeleweka kama wataenda mahakamani sasa hasa baada ya kuikataa solution hiyo mwanzoni na kupelekea maandamano yaliyosababisha maafa yaliyotokea.

  Unapoanza kutafuta solution ya tatizo kwa maandamano na maandamano hayo yasibadili msimamo wa upande pinzani uliosababisha kufanyika kwa maandamano hayo, hakuna namna nyingine yoyote isipokuwa kuendeleza maandamano mpaka solution ipatikane, lakini je Chadema walijiandaa kwa hilo? sijui!!
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tutaangalia tu nini kinaendelea,otherwise wakujibu viongozi wa chadema
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyo anayeitwa meya ajiuzulu,uchaguzi ufanyike kufuatana na kanuni stahiki,viongozi wa serikali kuu waache kuingilia mambo ya arusha(mwema)
  damu za watu zimemwagika, mali zimeharibika na image ya arusha na Tanzania imechafuliwa yote hayo ni uwepo wa meya 'feki'tusiendekeze malumbano!Lymo jiuzulu na utaheshimika otherwise kwa jinsi ninavyoifahamu arusha na watu wake yale ya 5th jan ni trela picha kamili linakuja.
   
 11. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  MISINGI YA CCM NI KUTOJIAMINI; KWA HIYO UKIANDAMANA AU KUWAPINGA HADHALANI WAO WANAONA HUJAWATENDEA HAKI KWA HIVO LOLOTE ULOJARIBU KULIELEZA KWA NJIA HIYO WATALIONA BAYA NA KAKO TAYARI KUTUMIA RASILIMALI ZAO ZOOTE KUPAMBANA NA HILO HATA KAMA HALINA TIJA. MFANO ZANZIBAR [CUF WALIDAI KWA NGUVU NA MAANDAMANO NA MIKUTANO- LAKINI WALIPOINGIA CHEMBA TENA WATU WAWILI NA HATUJUI WALISEMA NINI, UMEONA YALOTOKEA.
  CCM wanatakiwa kujiamini ndo wataweza kuleta maendeleo na amani thabiti!
   
 12. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  AISEE MAHAKAMANI HATUPATI KITU HAPA DAWA nI KUANDAMANA NCHI NZIMA NA KUVUNJA NA KUHARIBU MALI ZOTE ZA MAFISADI
   
 13. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  MAHAKAMA ZETU NA ZENYEWE NI ccm HAMNA HAKI HUKO
   
 14. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  CDM mSIENDE MAHAKAMANI TUTANGAZIENI MAANDAMANO NCHI NZIMA NA SISI TUKO PAMOJA NANYI
   
Loading...