Kesi Ya Chadema Tarehe 21 January Polisi Kupambana Na Wafuasi Wa Chadema

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kuna tetesi zilizojitokeza kua kuna mikakati inayoandaliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kua ile kesi iliyokua inawakabili viongozi wa Chadema pamoja na wafuasi wao kua ifikapo tarehe 21 ya mwezi huu wa January siku watakapo kua pale mahakamani jeshi limeweka mikakati ya kupambana tena na wafuasi wa Chadema ili wasihuzurie mahamani kuwasindikiza viongozi wao, habari hizi nilizozipata kutoka ndani ya jeshi hili ni kua polisi wakisaidiana na wanajeshi wa kikosi cha kutuliza ghasia wamedai watapambana kufa na kupona na yoyote yule atakayesogelea uzio wa mahakama. Hofu yangu mimi ni kua kuna uwezekano mkubwa wa kutokea fujo kama zile zilizojitokeza hapo nyuma. Wana JF hizi ni tetesi nilizozipata kutoka ndani ya jeshi la polisi. Nawasilisha hoja hii mbele yenu kama kuna mtu mwenye hizi taarifa kwaua mimi pia ni mmoja wa wanaharakati ninayetaka niwepo pale mahakamani tarehe 21 January.
 
NAKUSHUKURU SANA MWANAHARAKATI MWENZETU KWA HABARI HIZI THOUGH NDO NIMEZISIKIA KUTOKA KWAKO.MIMI NAFIKIRI ZINAWEZA ZIKAWA ZA UKWELI KWANI JUZI KWENYE MSIBA NMC MBOYE ALIWAAMBIA UMATI ULE WAUDHURIE MAHAKAMNI CKU HYO NA WATU KWELI WALIONESHA SANA HAMU YAKUWEPO HAPO TENA KWA JAZBA SOO POLICE HAPO LAZIMA WATOE VITISHO ILI KUOGOPESHA WATU.NAWASHAURI WANA ARUSHA TUSIOGOPE KITU CHOCHOTE TWENDENI MAHAKAMANI HAPO KWA AMANI KAMA WATAVURUGA AMANI YETU ILE FUJO YA JUZI CHA MTOTO.WASITUFUNDISHE UOGA TUNADAI HAKI YETU MPAKA KIELEWEKE:eyeroll1:
 
ACHENI UONGO ,MBOWE ALISEMA TENA KWA SAUTI YA KIUME,HATUTAHUDHURIA MAHAKAMANI KAMWE,ZILE KESi ZIFUTILIWE MBALI SASA HAYA YANATOKA WAPI?AU NYIE NDIO POLISI?MNATAKA TUJE MTUPIGE?HAJI MTU HAPA
 
Kuna tetesi zilizojitokeza kua kuna mikakati inayoandaliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kua ile kesi iliyokua inawakabili viongozi wa Chadema pamoja na wafuasi wao kua ifikapo tarehe 21 ya mwezi huu wa January siku watakapo kua pale mahakamani jeshi limeweka mikakati ya kupambana tena na wafuasi wa Chadema ili wasihuzurie mahamani kuwasindikiza viongozi wao, habari hizi nilizozipata kutoka ndani ya jeshi hili ni kua polisi wakisaidiana na wanajeshi wa kikosi cha kutuliza ghasia wamedai watapambana kufa na kupona na yoyote yule atakayesogelea uzio wa mahakama. Hofu yangu mimi ni kua kuna uwezekano mkubwa wa kutokea fujo kama zile zilizojitokeza hapo nyuma. Wana JF hizi ni tetesi nilizozipata kutoka ndani ya jeshi la polisi. Nawasilisha hoja hii mbele yenu kama kuna mtu mwenye hizi taarifa kwaua mimi pia ni mmoja wa wanaharakati ninayetaka niwepo pale mahakamani tarehe 21 January.

Uongo,toa hii hapa inapotosha
 
ACHENI UONGO ,MBOWE ALISEMA TENA KWA SAUTI YA KIUME,HATUTAHUDHURIA MAHAKAMANI KAMWE,ZILE KESi ZIFUTILIWE MBALI SASA HAYA YANATOKA WAPI?AU NYIE NDIO POLISI?MNATAKA TUJE MTUPIGE?HAJI MTU HAPA

Na kwataarifa yako kama wewe ni mmoja wa hao polisi nyie wakati mnajiandaa kuwazuia wanaharakati mtatukuta tumeshafika pale mahakamani na viongozi wetu halafu hapo ndipo tutajua kama mtaitii mahakama au la! Karibu tujumuike.
 
Achana naye huyo mzee ! Ndivyo alivyo anatumika na yuko hapa kupotosha. Kuhamasishana kwenda mahakamani ni muhimu.
 
Huyo anayesema mbowe alisema hawataudhuria mahakamani amtake mbowe radhi na awe anackiliza kitu kwa makani cyo kwa juuu juuu unakujakutupotosha hapa..... Tr 21 tupo mahakani labda wafute kabla
 
USIOGOPE imeandikwa takriban mara 365 katika Biblia. Hivyo, wenye mapenzi mema ni nchi hii budi wahudhurie.
 
Polisi watatafuta kisingizio kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani. Viongozi wa CHADEMA hawawezi kuacha kwenda mahakamani tarehe 21/01/2011 kwa sababu wanaamini katika utawala wa sheria na wanaziheshimu. Mbowe hakutangaza kwamba hawataenda mahakamani. Anayeta hizo taarifa ni mpotoshaji kwa sababu zake binafsi.

Mahakama ni eneo la public hivyo wananchi wanaruhusiwa kwenda kusikiliza kitakachojiri. Walioshtakiwa ni viongozi wao hivyo ni haki yao kuwasindikiza bila kufanya vurugu wala kuvunja amani. Yote yanawezekana.
 
lakini hata mie nilisoma tamko la cdm kuwa hawatahudhuria tena mahakamani hata kama kwa kufanya hivyo watarudishwa gerezani. sasa wamebadili msimamao, au lile tamko lilikuwa limechakachuliwa?
 
Huyo anayesema mbowe alisema hawataudhuria mahakamani amtake mbowe radhi na awe anackiliza kitu kwa makani cyo kwa juuu juuu unakujakutupotosha hapa..... Tr 21 tupo mahakani labda wafute kabla
Du ina maana gazeti la Tanzania Daima waliedit tamko la chadema kuwa hawatahudhuria? Contradiction kwa sababu hata vombo vingine viliripoti hivyo. Tafadhali tuondoleeni utata huu
 
ACHENI UONGO ,MBOWE ALISEMA TENA KWA SAUTI YA KIUME,HATUTAHUDHURIA MAHAKAMANI KAMWE,ZILE KESi ZIFUTILIWE MBALI SASA HAYA YANATOKA WAPI?AU NYIE NDIO POLISI?MNATAKA TUJE MTUPIGE?HAJI MTU HAPA

Mbowe alisema kuwa kama hawatafuta kesi tuende mahakamani kuwaonyesha nini maana ya peoples power.
 
Du ina maana gazeti la Tanzania Daima waliedit tamko la chadema kuwa hawatahudhuria? Contradiction kwa sababu hata vombo vingine viliripoti hivyo. Tafadhali tuondoleeni utata huu

NA MIMI NAJUA HiVYO SASA HAYA MATAMKO MENGINE SIJUI YALITOLEWA WAPI
 
Waandishi wa hlo gazeti walichakachua hyo point.alisema nawaombeni macamanda wa arusha tarehh 21 mje mahakamani wote akasema mtakuja ????? Watu weweeeee! Thn akasema na serikali tunaiambia ifute kesi hyo haraka sana bila masharti yeyote. So kama itakuwa haijafutwa bc lazima wapande mahakamani mkuu! Hco ndo nilikisikia
 
Back
Top Bottom