Wino Utakaoandikia Katiba Mpya (TZ) Ni ile Damu Iliyomwagika Arusha

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Ili tupate katiba mpya Tanzania inatubidi tuangalie ile damu iliyomwagika pale Arusha ndipo tujue ni katiba mpya ipi watanzania wayoihitaji, kwakua vitendo vilivyojitokeza Arusha ni uvunjwaji wa haki za binaadamu na hii haina siri kila mwananchi wa taifa hili hususani hata nchi jirani waliiona hii japokua serikali ya CCM inaficha ukweli kwa kuwapotosha wananchi kwakueneza propaganda na chuki binafsi kuonyesha wanaupinzani wao eti ndio wavunjaji wa amani ndani ya taifa hili.Kwa uhakika mapinduzi ya kudai katiba mpya ndani ya nchi hii yataanzia Arusha! subira yavuta heri na hii Arusha ndio wameshaonyesha ni namnagani vipi wananchi wameshachoka na utawala wa kibabe unaofanywa na serikali ya CCM. Nawasilisha FREEDOM IS COMING SOON!:peace:
 
kabla ya kuandika katiba mpya sisi wenyewe wananchi ni LAZIMA tujenge 'national ethos' miongoi mwetu, tujitambue, tujielewe na tuwe tayari kubadilika.
 
ukombozi hauko mbali nasi, upo karibu, tunahitaji kuunganisha mikono , tukiwa na dhamira safi , hakika hakuna wakutupinga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom