This requires proper record keeping! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This requires proper record keeping!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chapakazi, Jan 16, 2011.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika kusoma posts mbalimbali nimekuta mh safiri_ni_safiri kaweka ahadi za Kikwete wakati wa kampeni 2010. Nimeona hizi zinastahili kuwekwa katika thread yake binafsi kwa ajili ya kumbukumbu.
  Link ya thread yenye hii post ya safari_ni_safari ni: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/102642-gharama-mpya-za-umeme-bbc-wamkaanga-kikwete-2.html

  Hapa chini nimeweka link ya website ya Marekani inayo-track ahadi za wanasiasa. Nadhani ni muhimu na sisi kujaribu kuendana na hii.
  PolitiFact | Tracking politicians' promises


  Kazi kwenu...
   
 2. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashauri Mods waiwekee ile maneno inaitwa sticky ili kila ukifungua hili jukwaa unaikuta kwa pale juu imesimama vilivyo. Hii itatusaidia sisi waTZ tuliowasahulifu angalau kumpima kama jamaa alikuwa anamaanisha kweli au alikuwa anataka KURA/KULA tu. Watanzania wengi wameshasahau jamaa aliahidi nini - na yeye analijua hilo
   
Loading...