Chikawe Vs Sitta and Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chikawe Vs Sitta and Mwakyembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AmaniKatoshi, Jan 16, 2011.

 1. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Baada ya serekali ya Jk kujitambulisha kwa wananchi kuwa inayumba yumba....ninaomba mnisaidie kuelewa haya!

  1. Chikawe anaposema Sitta na Mwakyembe hawakufuata utaratibu wa kuongea na media badala ya kutoa maoni kwa waziri ngeleja, je, yeye alipoongea haya kuhusu Sitta na Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari ndio utawala wake bora?

  - Kwa kuwa issue ya DOWANS haijapita kwa baraza kla mawaziri, SITTA kusema kuwa inalipwa bila mawazri kuridhia ni makosa gani?

  2. Je, Werema anapomgwatukia Sitta kuwa BARAZA LA MAWAZIRI lina siri zake, je, siri hizo ni kuficha maovu na kupitisha yanayowanufaisha wao huku sisi wananchi tukifa kibudu?

  3. Je, kama Mwakyembe na Sitta wangeonea na media wakapraise DOWANS walipwe, Chikawe angewaambia hawakufuata taratibu za baraza la mawaziri na utawala bora?

  Kwa style ya Chikawe, Je Tanzania tunaeelekea kwenye utawala bora au utawala gani?
   
 2. M

  MMASSY JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hili la Dowans tulikwisha sema tangia juzi kuwa Chikawe anajua ni kwa nini anatetea kulipwa Dowans na katumwa na nani.Kama kweli Sitta na Mwakyembe walifanya kosa kuishtaki serikali kwa umma?Je yeye hajafanya makosa kuwashitaki Sitta na Mwakyembe kwa wananchi?Sheria zipo kwa ajili ya kuilinda serikali na sio wananchi na maslahi ya umma?
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Hao wote ni wana-CCM labda na wewe kama mwana-CCM wanakuhusu nini? Dowans haitakiwi kulipwa si kwa sababu Sita na mwakyembe wamesema.

  Moja ya techniques kubwa ambayo Kinana alijaribu kuishawishi kamati kuu ya ccm ni kuwa kitendo cha Sitta kupinga ufisadi kumeiongezea sana sifa CCM na kurudisha heshima yake!! yaani kwa mujibu wa KINANA ccm leo hii inaheshima kwa sababu ya Sita na mwakyembe

  Note this down, every move ya kuwasifia akina Sitta na Mwakyembe ni kusifia CCM! mtego huu wengi mmeingia na mna-confirm CCM will rule this country mpaka wachoke wao!!

  Dowans waliovunja mkataba ni akina mwakyembe na sita, deni hili walilipe wabunge TU na kwenye allowances zao! la kama mkataba ulikuwa na makosa wawajibishwe waliongia mkataba, uki-evaluate bila ushabiki lazima kuna upande una makosa na pande hizi haziwahusu wananchi!

  Guys let CCM go away with all angels (if any ) in it! Sitta na Mwakyembe are worse leaders/lawyers ever happened in history of Tanzania, wanatumia publicity kwa vitu serious kabisa! walitakiwa baada ya kuvunja mkataba waendeone step aheda na sio kuweka loop holes ya kushtakiwa na kutokea haya ya leo, still mnawaita hawa tu wana akili-wamo serikali ILE ILE, RAIS YULE YULE FISADI, CHAMA KILE KILE KIDHULUMAJI, still wanakaa na kugonga glass na wale wale watakaochukua hizo fedha

  mpaka Lowassa awe rais nchi hii na sita na mwakyembe wawe mawaziri wake ndio akili zitakuja

  mnatia kinyaa! CCM upande wazuri, upande wabaya what a shame!!!!!!!!!!!! logically does not exist

  CCM imeoza na vyote vilivyomo ndani yake, sihitaji msatri wa biblia wala quran ku-emphasize hili, na wale mnaowaona malaika ni malaika wa shetani waliovaa nuru ya muda!
   
 4. V

  Vipaji Senior Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba Kikwete aitishe kikao cha mawaziri wajadili kuhusu DOWANS na utangazwe moja kwa moja kwenye vyombo vya habari ili tumjue nani ni shemeji yake na Mafisadi na ninani mwenye uchungu na Watanzania. Hapa hakuna cha nani kavunja utaratibu wala nani hakuvunja wananchi tunataka mjadala uletwe hadharani tuwaone wanaoitetea Dowans.:Cry:
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,881
  Trophy Points: 280
  to he** ccm
   
 6. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Kwa kutetea ufisadi waweza kufanya chochote bila utaratibu, ila kutetea maslahi ya taifa lazima ufuate utaratibu!
  Tafakari, amua na chukua hatua kwa uwezo na nafasi yako!
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Aisee umekamua ,wewe utakuwa nabii lazima,sasa tupe msimamo ina maana hakuna cha Sitta wala Werema wte mavi kunuka?wewe unaonaje DOWANS walipwe au wasilipwe na wasipolipwa madhara yanazidi au Tanzania inapunguza mzigo wa mabilioni
   
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Lakini umenichanganya unasema mpaka Lowasa awe raisi na Six na Mwakyembe wawe mawaziri wake kwani hao sio CCM au wanampango wa kuja CDM?
   
Loading...