Ngereje safarini canada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngereje safarini canada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Jan 17, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa waziri wa nishati na madini yuko Canada kwa ziara ya kikazi, ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kukutana na washiriki muimu katika sakata la Dowans, kuweka sawa mambo fulani fulani, kwa lengo la kusawazisha njia kwaajili ya malipo kwa kampuni hiyo. Itakumbukwa hata kabla ya Dowans kuridhi mkataba huo kutoka kwa Richmond, waziri aliyekuwa na dhamana ya madini na nishati, Nadhir karamagi alifanya ziara kama hiyo hiyo kuweka mambo sawa. Habari hii naitoa kama tetesi kama kuna mtu anazo habari zaidi atujuze.
   
Loading...