Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini, zenye kuashiria kwamba serikali ilikuwa tayari kuilipa Dawans, zimetafsiriwa na wadadisi wengi wa habari kuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
mama mongela anaongea sasa bungeni, na amependekeza ile mitambo ya richmond/dowans itaifishwe ili itusaidie wakati wa dharura. mimi namuunga mkono, kuwa wasiruhusiwe kuichuka hiyo mitambo, ikae...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uchaguzi umekwisha, tuchape kazi - Mahanga na Mwandishi wetu MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga (CCM)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Community ya Wzanzibar wanao ishi nje waiomba jumuia ya kimataifa kutowa warrant wakukamatwa Benjamen Mkapa kwa mauwaji ya Wzanzibar 40 waliopigwa risasi ktk mandamano yaliofanyika 2001 26/27...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM na serikali yake mpakaleo hii viko kimya kuhusiana na tukio la kishujaa la wananchi wa misri kwani somehow linawahusu kwani madai ya wananchi wa misri yanafanana na madai ya wananchi wengi wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wakipewa nafasi za juu huko serikalini na katika hutumishi wa umma kwa ujumla. Tofauti na matarajio, kuongezeka huko kwa idadi ya vijana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi... Ukibishana na mjinga na wewe unakuwa ...... Maana bunge linaanza kupoteza mashiko kwa kuendeleza mipasho kama linavyoendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati akitoa majibu kuhusu kauli ya serikali juu ya mauaji ya Arusha na uchaguzi wa umeya wa halmashauri ya jiji la Arusha, waziri mkuu hakuwa mkweli juu ya masuala yafuatayo: - 1. Mauaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama wale tunaofuatilia bunge la Tanzania Dodoma, tunaona tactics za ccm kutaka kamati za bunge ziendwe kwa watu wanaowafahamu na kuhakikisha Chadema inawekwa nje ya siri za serikali. Hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kuchukua nafasi hii,kuongelea muelekeo wa SERIKALI dhidi ya WANANCHI. Serikali imekuwa haitaki kuwaambia Wananchi wake ukweli imebaki ikiwayumbisha yumbisha pasipo majibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by amini // 12/02/2011 // Habari // No comments Serikali ya Uswisi imetangaza kutaifisha mali zote za Dikteta Hosni Mubarak,ambaye jioni hii ameng’olewa madarakani na nguvu ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Feb 11, 2011 - Wananchi wa Misri wanamuondoa madarakani Rais wao aliyedumu kwa miaka karibu 30 kwa njia ya mapinduzi baridi - ndani ya siku 18. Feb 11, 2009 - Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hebu tujiulize Bw. Felichism Mramba na Bi Badra Masoud wanatuambia mgao wa umeme utaisha kwa kudra za Mungu, wakati huo huo wanasema wameagiza/wako njiani kununua majenereta ya kutengeneza umeme...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
By ALVAR MWAKYUSA, 11th February 2011 @ 19:50, DAILY NEWS A WHOOPING 50bn/- remains to be accounted for by the government even after mining and gas companies in the country claimed to have paid...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye majukwaa wakismama wanatutia morali Maneno wanayosema yanachoma kama mbigili Wananchi tumesimama wanatuona tumbili Sisi tunakondeana wenyewe wananawiri Hali zetu ni duni twaishi kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na CHADEMA kuichangamkia na kujiorodhesha kwa wingi kuchangia hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa bungeni, kumbe waliipenda. Hapa sasa nimegundua kuwa kumbe ile hotuba ilikuwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wananchi wa misri wamechoka na utawala wa mubarak lakini hawana mbadala, kuna chama kinaitwa muslim brotherhood hiki chama hakikubaliki sana misri kutokana na itikadi kali ya kiislamu, wananchi wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
je anaendelea kuwa naibu wa upinzani bungeni? Maana lissu alisema watajaza nafasi hiyo. Na kwa zitto kupenya kwenye kamati siyo ushahidi kwamba ndoa yake na ccm bado hai.?maana ni muujiza tu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara kwa mara kumekuwa na mifano mingi ya kuhamasisha wananchi (wafuasi wa vyama) katika nchi kuiga wenzetu wa Tunisia na Misri baada ya kutimua viongozi wao kongwe wasio na mihula ya utawala bali...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa jinsi mnavyozidi kugubikwa na dhambi ya uongo mkuu ambao unalenga kuliangamiza taifa letu, basi mkae mkijua ya kuwa hamchezi mbali na malipo ya dhambi hiyo, na mauti yakiwafika ghafla umma wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…