Hukumu ya maovu dhidi ya serikali ipo kwa wananchi wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya maovu dhidi ya serikali ipo kwa wananchi wa tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LUMBAKALA, Feb 13, 2011.

 1. L

  LUMBAKALA Senior Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Napenda kuchukua nafasi hii,kuongelea muelekeo wa SERIKALI dhidi ya WANANCHI. Serikali imekuwa haitaki kuwaambia Wananchi wake ukweli imebaki ikiwayumbisha yumbisha pasipo majibu yaliyonyooka.Nasema hivi kwa maana kwamba RICHMOND imeimbwaa wee MTANZANIA ameachwa gizani.Haya EPA imeimbwa wee majibu ya uhakika hakuna.DOWANS sasa ndo kizungu mkuti na Mh.Rais kaikana haitambui ,je ni nani haswa mtambuzi wa DOWANS? Jibu limeachwa kwa mwananchi kuwa atakayeitambua DOWANS ni MWANANCHI anayetaabika na suluba za kupelekwa pasipo fahamika.Hukumu yake itafika siku pindi MWANANCHI atakaposema "this is too much'' na kuamua kuandamana kama MISRI mpaka kieleweke.Kwahiyo Viongozi wa nchi lazima wasome alama za nyakati mapema maana mambo yanayokuja ni hatari kwa nchi yenye sifa ya KISIWA cha AMANI kama TANZANIA kumbe si amani si lolote.
   
Loading...