Habari za kiintelegensia kuhusu Dowans

Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,621
2,567
Ndugu wana JF, kwa nini jeshi letu la polisi linapata habari za kiintelejensia pale maandamano ya kupinga kitu fulani yanapotaka kutokea na linabaini kuwepo vitendo vya uvunjifu wa amani lakini hatujawahi kusikia habari za kiintelejensia kuhusu mikataba mibovu ya madini na 'bogus companies'? Naomba tujadili ili tuelimishane kuhusu hizi habari za kiintelejensia.
 
Back
Top Bottom