Mauwaji ya 26/26 2001 ya Wzanzibar Mh Mkapa akiwa Rais/ Amiri Jesh mkuu.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Community ya Wzanzibar wanao ishi nje waiomba jumuia ya kimataifa kutowa warrant wakukamatwa Benjamen Mkapa kwa mauwaji ya Wzanzibar 40 waliopigwa risasi ktk mandamano yaliofanyika 2001 26/27.
Hivi sasa kuna maandalizi yakutosha kuhusu mawakili kupress warrant wa kukamatwa Benjamen Mkapa kwa mauwaji ya 26/26 ya Wzanzibar waliokufa shahidi ktk mandamano. Na wamepanga Wzanzibar kuwa pindipo Benjamen Mkapa atapo tembelea Nchi za EU/UK na Netherland waweze kupewa tarifa ili wawarifu mawakili wao waweze kumzibiti na kupelekwa (The Hague).

Benjamin Mkapa
 
Hii inataka kushabihiana na taarifa ya warranty ya kukamatwa kwa Musharraf.
 
Ni sawa kabisa akamatwe huyu muuaji mkubwa dikteta nae akapambane na mkono wa sheria huyu ni kiongozi katili sana aliewahi kutawala kutawala ktk jamhuri ya muungano wa tanzania,enyi wazenj mnaoishi nje na ndani ya nchi jitahidini kwakila hali huyu dikteta akamatwe haraka apelekwe ktk mahakama yakimataifa ya uhalifu.
 
Hilo ni sawa,afikishwe mahakama ya kimataifa,pia wasiache kujumuisha kosa la kutuingiza kwenye mikataba mibovu isiyo na tija.
 
Wazembe nyie, na mkwere naye aandikiwe kwani ameshasababisha ya Arusha, na maisha magum. Pia kila anacho fanya hakina ubora mfano noti mpya miundombinu mashule ovyo.
 
Wazembe nyie, na mkwere naye aandikiwe kwani ameshasababisha ya Arusha, na maisha magum. Pia kila anacho fanya hakina ubora mfano noti mpya miundombinu mashule ovyo.
Hamna mzembe. Akishitakiwa Mkapa anafuatia Mwinyi kwa kosa la kuuza Roliondo na baadaye mkwere ili kukomesha ikulu kuwa sehemu ya maasi na biashara.
 
Benjamini Mkapa the Butcher of Tanzania, huyu jamaa muuaji mkubwa umma wa watanzania wanaopenda haki za binadamu wanataka kuona hatua za kisheria zinafatwa, THE HAGUE watoe agizo la kukamatwa Mkapa muuaji kama vile jamaa zake, Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, lazima wakakutane LUIS MORENO-OCAMPO
 
Community ya Wzanzibar wanao ishi nje waiomba jumuia ya kimataifa kutowa warrant wakukamatwa Benjamen Mkapa kwa mauwaji ya Wzanzibar 40 waliopigwa risasi ktk mandamano yaliofanyika 2001 26/27.
Hivi sasa kuna maandalizi yakutosha kuhusu mawakili kupress warrant wa kukamatwa Benjamen Mkapa kwa mauwaji ya 26/26 ya Wzanzibar waliokufa shahidi ktk mandamano. Na wamepanga Wzanzibar kuwa pindipo Benjamen Mkapa atapo tembelea Nchi za EU/UK na Netherland waweze kupewa tarifa ili wawarifu mawakili wao waweze kumzibiti na kupelekwa (The Hague).

Benjamin Mkapa

Sema haki hata kama inauma

Si Mkapa tu ongeza wengine ili haki itendeke kwa wahanga wote walio poteza uhai wao kwa ajili ya haki.
2 Maalimu Seif anahusika pia
3 Omari Mahita aka ngunguri
4 Omari mapuri
5 Omari juma(huyu bahati yake lakini ikibidi mifupa yake isomewe mashtaka ili iwe funzo kwa wajivuni watarajiwa)
Tafadhali ongeza idadi ya wahusika wakuu.....
Na miafaka yote iwe ushahidi ili tujue walicho kubaliana hawa walipokuwa sirini.
HAKUNA KULALA!
 
Back
Top Bottom