Chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mazee, Feb 12, 2011.

 1. Mazee

  Mazee Senior Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi...
  Ukibishana na mjinga na wewe unakuwa ......
  Maana bunge linaanza kupoteza mashiko kwa kuendeleza mipasho kama linavyoendelea this should be our slogan from now on
  kazi tu hakuna shobo hakuna mipasho ...
  La tutaendelea kuwasaidia ccm ambao huwa hawapendagi kufanya kazi na saivi wanafurahia hiimipasho let us put an end to this nonsense....
   
 2. Nkamu

  Nkamu JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Big up! Unachoongea ni kweli kabisa, maana CCM wamezoea sana mipasho na kama tukiendeleza haya malumbano haya watu hawatatofautisha nani makini na nani hana dira! CDM sisi ni kazi tu, hatuna muda wa malumbano!
   
 3. m

  mams JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani ktk historia ya bunge letu, haijapata kuwa na bunge la mipasho kama hivi. Mbunge wa Cdm kama ilivoyotokea kwa Tundu Lisu na Halima Mdee wakiongea walizomewa mara kwa mara na hata bila ruhusa ya speaker! Kwa ufupi nguvu ya speaker ni dhaifu mbele ya wabunge wa sisiemu. Ni muda muafaka wa kutanguliza maslahi ya nchi regardless ya itikadi zetu, CDM wa stick lwenye hoja bila woga na Wtz wa leo ni waelewa.
   
Loading...