Kwanini TANESCO inafeli... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini TANESCO inafeli...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Feb 12, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  Hebu tujiulize Bw. Felichism Mramba na Bi Badra Masoud wanatuambia mgao wa umeme utaisha kwa kudra za Mungu, wakati huo huo wanasema wameagiza/wako njiani kununua majenereta ya kutengeneza umeme! na vilevile wamenunua mafuta ya kuziendesha mashine za IPTL! sasa jiulize ni lini walitangaza tenda za kununua majenereta hayo kwa uwazi? na ni lini walitangaza tenda za procurement ya mafuta hayo?

  Kwa mwendo huu bila bidding process tutaendelea kuumia kila siku ukiangalia vizuri waliopata hizo tenda watakuwa walewale ila majina ya kampuni yao yatakuwa yamebadilika! Watanzania tuamke na tuwe tayari kuhoji hayo manunuzi yamefanyika kivipi? na kama ni kwa manufaa ya TANESCO na nchi kiujumla yaani watumiaji umeme na uchumi wa nchi hii!
   
 2. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Gezaulole, kuna 160MW ambazo bidding yake ilishapita...

  Hizi zinazoongelewa ni rentals..ni 260MW kucurb hali ya ukame..hizi serikali imeombwa kuridhia kuagiza on rental..ni mobile fuel turbines..

  Next qn pls ?
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  how about the transparency on that bidding process for the 160 MW?
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  That was an international competitive bidding and was duly advertised..log into www.tanesco.co.tz it might still be there as it was advertised early last year!
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Ishakua fasheni ya mkwere kila,akiingia madarakani lazima shida ya umeme na tanesco kufeli mwaka 2005, mziki ulikua kama wa sasa, ndio akina richmond na dowans wakaingia mitamboni, sina imani na taarifa zao ila ninachojua kuna ufisadi mkubwa ndani ya tanesco na serikali kwa ujumla.
   
 6. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  r u sure sio mwana Costa rica kajipachika jina lingine? mie yangu macho...
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapo sina jawabu ila kuhusu kufuata ppra procedures ndio zilifuatwa, sina uhakika kama tender imekuwa evaluated...ila kwa vile mnunuzi ni serikali..maybe...Mh Ngeleja akiileta mapema hii..kdg kelele zitatuama..kidoogo...
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  tukiweza kuondoa ufisadi huu katika kufanya procurement excercise as only a formality na si a strictly and diligently adhered excercise as a principle! ndio giza litatuondoka! sidhani kama kuna jipya hapo... we subiri maajabu yanayofuata kama huo umeme hutakuwa over-priced basi zitaletwa mashine kuukuu!
   
 9. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hilo shirika linatakiwa kuanzisha source nyingi za umeme otherwise kila siku kumtafuta mchawi nani.
   
 10. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Yangu macho na masikio.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TANESCO kuna haja ya kutulipa fidia bse tunatumia mudA WETU MWINGI KUWADISCUS wao alafu daily wanatokota
   
 12. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo hatua ya kuagiza mtambo wa kuvua umeme huko mwanza, kwa kutumia mafuta mazito haitasaidia kutoa suruhu ya matatizo ya ummeme bali badala yake itakuza tatizo kwa kuongeza gharama ya ummeme. Mh. Makamba katika barua yake kwa Ngereja amelifafanua vizuri suala hili.
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du haya maswala ya TANESCO yamefika mwisho tuingojee Kamati ya Makamba inayoenda Mtera kesho mana km hakuna ufisadi tatizo hili la mgawo wa masika litaisha. Jumamosi ijayo jb litapatikana kwani lei wamekataa lunch ya kila mjumbe 1m
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Geza Ulole,

  Mie nadhani Tanesco inafelishwa na sio kufeli. Kwasababu vitu wanavyoviongea hawa jamaa ni vichekesho. Wanadai wanaleta mafuta hapo hapo wanatuambia mgao kuisha ni kudra za mmungu. Mbona hawatuelezi maendeleo ya mradi wa umeme wa maji mto rufiji umefikia wapi? Wakati Mtera maji yamekauka rufiji maji yapo bwelele sasa huoni ni kichekesho!!!! Kwanini hizi pesa wasizitumie kuzindua mradi wa umeme kule rufiji ukalisolve hili jambo once and for all?

  Umeme wa songosongo wanausema ni mdogo au kidogo sana sasa inashangaza wanaacha mradi wa rufiji wenye kuproduce umeme mwingi wanaenda katika mradi wa songosongo wenye umeme kidogo. Sidhani kama wana nia dhati ya kulitatua hili tatizo.
   
 15. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana mikakati yoyote inabidi waondolewe tu na nguvu ya umma bila ya hivyo tuwe tayari kusikiliza upuuzi huo huo!
   
 16. c

  chidide Member

  #16
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, sheria ya manunuzi hairuhusu kutangazwa kwa zabuni yoyote kwenye chombo kimoja ambacho sio kila mtu hawezi kupata habari. Kwa mfano huwezi kutangaza kwenye gazeti kama Nyota amabalo halipatikani mikoa yote ya nchi. Au utangaze tenda kwenye gazeti la jumapili, ambapo watu wengi watakuwa hawalisomi. Ni lazima kuwe na uwazi, na hata kama kuna uharaka then tendering period itakufupishwa badala ya miezi mitatu itakuwa mwezi mmoja but huwezi kuruhusiwa kuufanya kwa usiri, uwazi unabaki pale pale. Tatizo TANESCO ufisadi umezidi, kwani hatujui MD wenu aliwahi kuhusishwa na rushwa alipokuwa Mbeya???????????
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kumbe Eng William nae fisadi?
   
Loading...