Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Dr.Zack Sababu zilizoletwa na CHADEMA ili kushinikiza kusitishwa kwa kikao cha Baraza Kuu la chama hicho imeibua maswali mengi kwa Wajumbe kikao hicho wakidai kuwa suala la viongozi kuitwa...
0 Reactions
9 Replies
200 Views
Tukubali tukatae, kisiasa na kwa upana wake hata kwenye masuala ya usalama, Tanzania bado ipo katika mfumo wa kijamaa. Ndiyo maana unasikia kelele zisizoisha za Katiba Mpya na Tume Huru ya...
1 Reactions
1 Replies
140 Views
Na: Chris Bwaya Chilumba 31.08 2026 Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani...
2 Reactions
17 Replies
296 Views
Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako." Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
  • Redirect
DeletedMember281674
Anayefahamu alipo atujuze
0 Reactions
– Replies
– Views
DeletedMember281674
Unazaliwa unaishi miaka mingi kuanzia miaka 10 na kuendelea hadi 100 juu ya sakafu ya Ardhi ya Dunia. Ila ukifa tu, una siku 3 Tu za kuishi juu ya sakafu ya Ardhi ya Dunia, na bado una miaka...
1 Reactions
4 Replies
84 Views
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G), eneo la Mnange, Mtaa wa Lyamkena, mjini Makambako, Mkoa wa Njombe wamelazimika kufanya ibada nyumbani kwa Mchungaji wao baada ya...
2 Reactions
21 Replies
333 Views
Amekosa nini kinachompa hukumu hiyo ya kikatili, Je viongozi wa Tanzania hawataki vijana wenye akili? Au kosa lake ni kugoma Kuhamia CHAUMA? Lakini Je Watanzania watanyamazia mauaji yake na...
14 Reactions
57 Replies
1K Views
Kama wana uwezo kumuua mwenzao we ni nani ? Hakuna kifo cha Mahabusu , we ulisikia wapi ? Kwamba wakati anajiua wenzie wana muangalia tu ? Hivi Tanzania mna akili ?
1 Reactions
0 Replies
146 Views
Kama CCM inaweza kuhusika kwa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mwenezi wake, na sasa kupotea (ama kuuwawa) kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wake ambao wote walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu na...
8 Reactions
16 Replies
321 Views
Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Haiwezekani mtu awe na chuki kubwa kiasi hiki dhidi ya watu wa upande mmoja wa Muungano. Kuamua kuuza Mali zao, kuwapoteza wanasiasa wa upande mmoja,kufanya ufisadi mkubwa sehemu moja ya...
10 Reactions
14 Replies
331 Views
Serikali imepanga kuanza usajili na utambulisho wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kwa lengo la kuwapatia Jamii Namba. Hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu sana. Mpango huu utawezesha kila mtu...
1 Reactions
5 Replies
117 Views
Nchi hii linapokuja suala la maslahi watu wanaanza kujipendelea, kubagua wengine. Kwanini VC ambaye ndiye mtendaji mkuu wa University inayomilikiwa na taasisi ya dini fulani lazima we aidha...
4 Reactions
29 Replies
379 Views
Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha? Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa uovu waa CCM...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Malisa Godlisten Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya...
9 Reactions
20 Replies
499 Views
Bana sikiliza. Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila! Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii? Ze Ponjoro
1 Reactions
9 Replies
103 Views
Wanabodi, Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi. Tanzania ni nchi huru...
12 Reactions
52 Replies
8K Views
Dkt. Azaveli Lwaitama, amekosoa tabia ya watawala kutumia tume mbalimbali za kero na mabadiliko kama mbinu ya kuchelewesha matakwa ya wananchi na kutengeneza matumaini hewa badala ya kutekeleza...
2 Reactions
7 Replies
130 Views
Back
Top Bottom