Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tusubiri yajayo. Hawa watu hawaogopi hasira ya wananchi, hawana aibu na wamejaa uovu mwingi kiasi kwamba mioyo yao huenda imegeuka rangi kuwa myeusi. Sintashangaa baada ya muda fulani kusikia...
5 Reactions
11 Replies
285 Views
Kama nia ya CCM, serikali zake na dola ni kumwekea doa Tundu Lissu kwa kumhukumu katika kesi ya Uhaini ili akose sifa za kuwania au kuwa Rais wa JMT, wanaweza kuwa wanafanya kosa kubwa kwao la...
2 Reactions
3 Replies
95 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo...
4 Reactions
47 Replies
599 Views
Kwa hali ilivyo kwakweli hili halihitaji tena ushabaki wa vyama tena, kama kweli taifa hili ni letu sote na tunalipenda taifa na watu wake kwa kweli inahitajika tushikamane kwa pamoja tena...
8 Reactions
17 Replies
176 Views
Wakuu Yan kwa tulipofikia kama nchi sasa hivi mtu(mwanaharakati) akikamatwa na polisi maombi yanabaki nyuma kwamba hasiuawe yn mtu anakamatwa na chombo chenye dhamana ya ulinzi na usalama lakin...
2 Reactions
3 Replies
68 Views
POLISI MWITA MILUMBE ATESWA NA KUUWAWA , NDUGU WAONBA MSAADA. Habari ya kazi kaka Mwaipaya. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi...
9 Reactions
105 Replies
3K Views
Na: Chris Bwaya Chilumba 31.08 2026 Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani...
0 Reactions
7 Replies
164 Views
Tusiwe serious na namba zinazotajwa. Tuchukue tahdhari, Mvua zitasomba watu , kuanzia Kinyerezi, Tabata, Kigogo, Jangwani. Mvua zitaangusha kuta dhaifu na kuua watu. Radi zitapiga majengo marefu...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
https://www.youtube.com/watch?v=zPQSmOhrGS4
0 Reactions
2 Replies
47 Views
Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe. Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe...
5 Reactions
18 Replies
529 Views
Aise this is too much my friend Gereshoni POPOTE ulipo wee youth from Tanzania tumechoka hata Malisa?
2 Reactions
3 Replies
58 Views
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kijana wa miaka miaka 23, mkazi wa kijiji cha Bwakila Chini wilaya ya Morogoro. Soma Pia: Jeshi la Polisi...
7 Reactions
53 Replies
844 Views
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewashauri watumishi wa mahakama na watumishi kwa ujumla kutokuwa wanaharakati katika kudai haki, akisisitiza umuhimu wa kutumia njia na taratibu...
0 Reactions
22 Replies
355 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Mary Pius Chatanda, ameipongeza Halmashauri Kuu ya CCM kwa uamuzi wa kumfukuza Balozi Emmanuel Nchimbi kutoka katika Chama...
1 Reactions
17 Replies
470 Views
Hili andiko haliegemei chama chochote. Uwe CCM au upinzani linakuhusu. Sio CHADEMA wala CCM ambako utavumiliwa ukianza ku-challenge uongozi uliopo. Yaani ukiwa kinyume na itikadi za chama jua...
2 Reactions
7 Replies
130 Views
Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha. Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna...
15 Reactions
35 Replies
643 Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linapenda kutoa taarifa kuhusu kifo cha askari namba. H.1796 Koplo Mwita, aliyekuwa akishikiliwa kwa ajili ya uchunguzi katika kituo cha Polisi Wilaya ya Tanga...
10 Reactions
– Replies
– Views
Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Nimefurahi kuona Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimtembelea na kumjulia hali, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba, katika makazi yake, Mbezi Juu...
12 Reactions
46 Replies
1K Views
Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa...
9 Reactions
74 Replies
2K Views
Back
Top Bottom