Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Werema amemwambia mwandishi Balile kwamba wewe si muandishi wa habari za uchunguzi bali ni muhemea kodi ya pango.
Jaji Werema alijibu hivyo baada ya mwandishi...
Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali...
▪️Kilimanjaro
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasalimu Wananchi wa Mbuyuni, Wilayani Moshi waliokusanyika kumlaki akiwa katika ziara binafsi mkoani...
Sijajua bado, kwanini mtu licha ya kusoma sana lakini bado anakuwa na akili za kufikirika ambazo zimekosa mental autonomous,
Mtu anajua kabisa chadema hawana hoja za kwann wapigiwe kura lakini...
Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa .
1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru.
2. Serikali ya Samia imetengwa...
Wanabodi,
Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Zanzibar sio nchi...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida ameeleza kwa undani sababu ambazo anasema zilipelekea Chama hicho kumfuta Uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais na...
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua...
Hellow wana JF.
Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k
Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Okay, kama ametumia kifaa basi Mkuu wa kituo na Maaskari wa kituo husika wawajibishwe kwa sababu ni jukumu lao kuhakikisha usalama wa raia awe ndani ya kituo au nje ya kituo.
Inakuaje mtu ana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa...
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja...
Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na...
Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.
Na sisi familia, kwa kweli hatufahamu kizanaki. Na mimi hata leo Wazanaki wanaweza kuongea hapa mbele...
Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe.
Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.