Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,391
Reaction score
283,524
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi CHADEMA na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana na Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu na maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa na nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Unaweza ukawa sahihi mkuu kibinafsi TU

lakini kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu

Suala kubwa la chama ni kuongeza umakini sana kwenye mchakato wake wa kupata viongozi

Kama atarudi abaki kuwa mwanachama wa kawaida Kwa muda Fulani huku chama kikiangalia mwenendo wake

Kwa mwanachama mpya haswa anayehamia apewe muda wa kutosha KUJIDHIRISHA ndani ya mfumo wa chama
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
NONSENSE
 
Uamuzi wa kumpokea au kutompokea ni democratic process. Ni haki yako kuweka mguu chini, lakini at the end of the day kura yako ni moja. Wajumbe wa vikao vya maamuzi kwa umoja wao wakiridhia kumpokea ni sawa. Ndiyo demokrasia!
 
Sisteri alikiumiza sana chama.
Wenda wazo la Mwenyekiti ni kutaka watu warudi, lakini huyu sisteri dah!
Walikidhalilisha sana chama tena kwa kibri na ghilba!

Naunga mkono hoja na vuguvugu ya kumkataa huyu sisteri!
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Utamlaumu Mdee, Covid-19 walipelekwa na Mbowe.

Ndio maana mke wa Kigaila (Team Mbowe mpaka leo) wako CHAUMA na Mbowe wao, alikuwa sehemu ya COVID
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Mkuu nakuelewa sana. Mimi mwenyewe nilikuwa namkataa sana Halima Mdee kurudi chamani. Lakini kwa namna ya utulivu aliouchukua Mdee bila kuchacharika kama wengine kuhamia vyama vingine,hasa kipindi cha uchaguzi inatosha kuona amejutia na kutafuta utulivu na kuwashawishi viongozi na wanachama kurudishwa kundini.

Jambo kubwa unalopaswa kuliona pia naamini Halima amebembelezwa sana ahamie ccm. Hasa kipindi cha uchaguzi. Na naamini ameahidiwa mambo lukuki kunauwezekano mpaka vyeo na hayo majitu, tawala zote. Lakini kwa ukomavu wa Halima Mdee bado alikataa na mavitu yote hayo. Bado akabakia na msimamo wake yeye ni mwanachama mtiifu kwa CHADEMA.

Naamini hata alivyokuwa bungeni kipindi kile amedanganywa naamini alijutia sana kwa ule uamuzi,na bado bungeni hakukengeuka kuanza kuhubiri habari za hawa wengine,bali akabakia kwenye reli ya CHADEMA kwenye matamshi yake bungeni.

Muhimu ujue hata mtoto ndani ya nyumba anakosea,kuna muda pia anaweza kusamehewa kulingana na toba yake kwa wazazi na familia. Kulingana na wakati huu haina haja ya kuendeleza malumbano ya akina Mdee. Tunasamehe.

Mimi pia namuombea wanaCHADEMA wamsamehe twende nae kwenye harakati za ukombozi.
 
Ni kwel HALIMA alituumiza wengi ila nataka nikuulize hili

Mtoto wako akibadil din tofaut na yako na baadaye akaamua kurud kwenye dini yako utamkataa kwamba yeye n msaliti?

Kiukwel kwa mdee peter msigwa na wengineo warud chaman kwakufuata taratibu

Tukijenge chama chetu
 
Huyu hawezi kuruhusiwa kurudi Chadema na nitafanya kampeni Maalum kwenye Kamati Kuu kuhakikisha harejeshwi

Halima ndio nguzo kuu ya Covid 19, ndio mpanga njama mkuu akishirikiana n.a. Usalama wa Taifa na Job Ndugai

Amesababisha usumbufu n.a. maumivu makubwa mno kwa Chama, hatakiwi kabisa n.a. nitapambana kuzuia (Nina ushawishi) na nyinyi mnafahamu

Ninazo sababu 10 za kutetea hoja yangu nitazitoa kwenye vikao haiwezekani kufuga majini ndani ya chama, Hii itavunja moyo wengi, ni kweli CHAMA ni watu lakini Usaliti wa Mdee hauvumiliki

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai-JK NYERERE
Hakuna binadamu mkamilifu hizi harakati zinahitaji watu
 
Back
Top Bottom