Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

Capital

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,508
Reaction score
1,104
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.

Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali
2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya miaka mingi ya majigambo ya uchumi wa kijamaa..
3. Kuharibika kwa uchumi ni dalili kuwa mambo hayako sawa katika taasisi na uongozi wa nchi.
4. Kila taasisi ni feki, feki, feki: nitafafanua:
  • Bunge feki, halina uwezo wa kuidhibiti serikali, utungaji sheria ni feki ili tu kudhibiti maskini. Hakuna sheria inatungwa kwa watu wenye pesa tena haram.
  • Mahakama feki kuanzia majaji hadi wafagiaji, hawa wapo kuwadhibiti maskini wasio na pesa za kununulia haki. Ni feki kiasi kwamba CCM ndo inaamua 'funga huyu, achia huyu' na wala siyo sheria.
  • Jeshi na vyombo vya ulinzi feki, feki. Hivi vyombo viko kwa ajili ya kulinda kundi dogo la CCM na si vinginevyo. CCM ndo inaamua linda huyu, kamata huyu, uwa huyu. Hakuna sheria hata kidogo.
  • Taasisi feki, vyuo vikuu feki, vyuo vidogo na shule za chini feki kabisa. Mafunzo feki, kwa ajili ya kuwapumbaza wanaofundishwa humo.
Nyuma ya uchafu huu, yuko CCM. Haya ma uchafu yote ni ya maksudi na hakuna linalotokea kwa bahati mbaya.
CCM ni kina nani? Hili ni genge la watu wenye roho mbaya, wabinafsi na wako tayari kuuwa mtu yeyote atakayegusa maslahi yake. Ni genge lenye hofu kubwa kutokana na kwamba hawako tayari kuona mema ya nchi waliyoyapata kutoka na uporaji yakiwaponyoka.
Hawa mafias kila siku wanahubiri amani lakini mioyoni mwao wamejaa husda, wanabuni mbinu ya kuwadhibiti watz ili waendelee kuwa kama ng'ombe wakati wao wakineemeka na jasho la wananchi.
CCM inashirikiana na mabeberu kuibagaza Tz. Mabeberu wana share uzoefu wao katika uporaji wa raslimali za nchi nyingine, wanatoa mbinu na pesa nyingi sana kwa hili genge ili liendelee kufanikisha uporaji hapa nchini. Matokeo yake nchi inakuwa kama iko vitani, vita vya kimya kimya.
Wajibu wa mwananchi ni nini?
Bahati mbaya, wananchi wamedhulumiwa haki yao ya kupata elimu bora, kwa maksudi kabisa, ili wasitambue hujuma za CCM dhidi yao. Walioweza kutambua hizi hujuma na kuzipinga wazi wazi, wamepata madhara makubwa sana, hadi saa nyingine kupoteza uhai.
CCM ni genge la fitna haswaa... watatafuta jamba lolote hata la hovyo kuwafanya wananchi wasikumbuke madhira yaliyosababishwa na hizi mumiani nyonya damu.
Hofu yangu ni kwamba ikiwa wananchi hawatapata njia rahisi ya kuondokana na CCM mafia kwa amani, basi Tz inaweza kutumbukia katika machafuko makubwa sana, ambayo tutajutia kwa karne nyingi zijazo.

CCM ni wakati sasa wa kuondoka kimya kimya kwa sababu kama ni wizi au kufanikisha wizi, hakuna ambacho hamjaiba. Nawaomba kila mtanzania, kwa kadri ya kila mtu alivyojaaliwa, kwanza apate picha kamili, kisha afahamu kwamba bila kuondoa CCM, ndoto zake ziko mashakani kwa kiwango kikubwa na hatlzitakuwa kama anavyotarajia. CCM wanachojali ni kuendeleza 'inner circle ' yake ili ibaki hivyo karne nyingi zijazo.
Kuendelea kuwepo CCM halafu tukiwa na matumaini ya Tz iliyo bora ni kujilisha upepo , ni kuendeleza ufeki.
Jumapili njema
 
Gentleman,
kwamba,
umekaa kabisa na kuchukua muda wako kutafakari na kuamua kuja kuwahadaa wadau wa Jf kwa porojo kama hii,
eti kuna watu wa ndani au nje ya Tanzania wanaweza kuiondoa CCM mamlakani ?

gentleman ,
mbona hiki ni kichekesho sana aise :pedroP: :pedroP:
 
Mi sio mtu wa siasa na hata sikuwahi kabisa kuwepo kwenye mambo ya CCM sijui Chadema
Ila kwa kweli nilianza kuchukia CCM mwaka jana mambo ya utekaji yalipozidi, na mauaji ya October 29.
Pia nachukia sana jinsi CCM inavyoleta maendeleo kwa kupendelea maeneo machache huku wakiacha miundombinu ya Mbeya na Mwanza (barabara specifically) katika hali tete licha ya wananchi wa maeneo hayo kupiga kelele sana kuhusu miji yao. Ukizingatia Mwanza ni mkoa wa pili kwa mapato Tanzania, na Mbeya ni mkoa wa tatu kwa mapato Tanzania
Kingine suala la kufukuza Wamasai Ngorongoro ili kumpa Mwarabu awekeze, au CCM kushindwa kusimamia kitu muhimu kama bandari na kuwapa kampuni ambayo hata si ya Kitanzania ndio iwe responsible na bandari
Pia ni kama CCM imeshafeli kuhusu kutatua suala la ajira, pande zote tu kuajiri watu pamoja na kuweka mazingira rahisi ya kujiajiri. Hii ni one of their biggest failures hawa CCM, umasikini unaongezeka kwa idadi.
Kingine kwa nchi kama Tanzania uchumi kukua kwa 4% ni vichekesho. China wakati wananchi wake masikini ilikuwa inakua hadi kwa 11% kwa mwaka ndio waka achieve maendeleo ya haraka. Sisi tunashangilia asilimia 4 sijui 6
Halafu mpangomji CCM mmefeli pakubwa sana, miji yote Tz inajengwa shaghalabaghala na viongozi wa CCM ndio wamejaa bungeni.
Tukija kwenye demokrasia ndio kabisaa, hamfai nyie watu. Kwanza kuintroduce "machawa" kwenye siasa, hapa ndio mlipofeli big time. Mnazidi kuchukiza wananchi
Nchi ina matatizo mengi sana na hatuoneshi effort kuzitatua. Mimi sijali kama viongozi ni CHADEMA au CCM, ni vile tu naumia kuona viongozi wa sasa mlivyo hamuipendi Tanzania, viongozi wenye akili wako serious kuziendeleza nchi zao ila huku (ambao ndio CCM) wako busy kuididimiza nchi yao. Maendeleo 20% ufisadi 80%
 
Hakuna kisichokuwa na mwisho.. Kaburu aling'oka baada ya karne kadhaa za ukandamizaji.. hata mafia iko siku watatoweka tu.. usijitie upofu
 
Ni kweli kabisa watanzania tuondokane na CCM haraka uwezavyo hili genge ni hatari mno kwa ustawi wa nchi yetu.
 
Nimekupa like mkuu
 
Miaka 60 ya uhuru.
Umasikini umetopea.
CCM NA ILAANIWE.
Ni hatari sana kiongozi.. ukienda maeneo mengi ya Tz, mijini hadi vijijini utashangaa sana. Yaani kuna umaskini wa kutisha. Si kwamba watu hawafanyi kazi, la. Ni kwamba ili ufanikiwe lazima uwe na connection ili kazi zako ziwe nabtija, ili taasisi uchwara za masisiem zisikusumbue. Hadi tutakapoweza kuondowa haya makomba damu, vinginevyo tulie tu
 
Hakuna kisichokuwa na mwisho.. Kaburu aling'oka baada ya karne kadhaa za ukandamizaji.. hata mafia iko siku watatoweka tu.. usijitie upofu
unadhani aling'olewa kwa mihemko, matusi na ramli nonsense kama mnavyopotoshana jukwaani kindezi ndezi hivyo?:pedroP:
 
Mi sio mtu wa siasa na hata sikuwahi kabisa kuwepo kwenye mambo ya CCM sijui Chadema
Ila kwa kweli nilianza kuchukia CCM mwaka jana mambo ya utekaji yalipozidi, na mauaji ya October 29.
Pia nachukia sana jinsi CCM inavyoleta maendeleo kwa kupendelea maeneo machache huku wakiacha miundombinu ya Mbeya na Mwanza (barabara specifically) katika hali tete licha ya wananchi wa maeneo hayo kupiga kelele sana kuhusu miji yao. Ukizingatia Mwanza ni mkoa wa pili kwa mapato Tanzania, na Mbeya ni mkoa wa tatu kwa mapato Tanzania
Kingine suala la kufukuza Wamasai Ngorongoro ili kumpa Mwarabu awekeze, au CCM kushindwa kusimamia kitu muhimu kama bandari na kuwapa kampuni ambayo hata si ya Kitanzania ndio iwe responsible na bandari
Pia ni kama CCM imeshafeli kuhusu kutatua suala la ajira, pande zote tu kuajiri watu pamoja na kuweka mazingira rahisi ya kujiajiri. Hii ni one of their biggest failures hawa CCM, umasikini unaongezeka kwa idadi.
Kingine kwa nchi kama Tanzania uchumi kukua kwa 4% ni vichekesho. China wakati wananchi wake masikini ilikuwa inakua hadi kwa 11% kwa mwaka ndio waka achieve maendeleo ya haraka. Sisi tunashangilia asilimia 4 sijui 6
Halafu mpangomji CCM mmefeli pakubwa sana, miji yote Tz inajengwa shaghalabaghala na viongozi wa CCM ndio wamejaa bungeni.
Tukija kwenye demokrasia ndio kabisaa, hamfai nyie watu. Kwanza kuintroduce "machawa" kwenye siasa, hapa ndio mlipofeli big time. Mnazidi kuchukiza wananchi
Nchi ina matatizo mengi sana na hatuoneshi effort kuzitatua. Mimi sijali kama viongozi ni CHADEMA au CCM, ni vile tu naumia kuona viongozi wa sasa mlivyo hamuipendi Tanzania, viongozi wenye akili wako serious kuziendeleza nchi zao ila huku (ambao ndio CCM) wako busy kuididimiza nchi yao. Maendeleo 20% ufisadi 80%
Inahuzunisha sana mkuu... mbinu mojawapo ya maccm, ambayo haina tofauti kabisa na wakoloni ni kuwaadhibu watu wasiowaunga mkono. Ndo maana nimesema mabeberu huwa yanawapa mbinu namna ya kuwalazimisha watu. Hali ya Mbeya inasikitisha zaidi maana lile vumbi siyo la dunia hii. Maccm yaliamua kuwakomesha wana Mbeya kwa sababu kwa muda mrefu, wana Mbeya walishajitambua na kuikataa CCM..
Nafikiri sasa wana Mbeya waoneshe vitendo. Wagome kulipa kodi au ushuru wowote hadi miundo mbinu irekebishwe
 
unadhani aling'olewa kwa mihemko, matusi na ramli nonsense kama mnavyoposhana jukwaani kindezi ndezi hivyo?:pedroP:
Hizo mbinu alizong'olewa nazo kaburu usidhani zinapatikana mbinguni.. watz hawajaamua tu kuzitumia.. siku wataamua liwalo na liwe.. ni suala la muda tu
 
Mi sio mtu wa siasa na hata sikuwahi kabisa kuwepo kwenye mambo ya CCM sijui Chadema
Ila kwa kweli nilianza kuchukia CCM mwaka jana mambo ya utekaji yalipozidi, na mauaji ya October 29.
Pia nachukia sana jinsi CCM inavyoleta maendeleo kwa kupendelea maeneo machache huku wakiacha miundombinu ya Mbeya na Mwanza (barabara specifically) katika hali tete licha ya wananchi wa maeneo hayo kupiga kelele sana kuhusu miji yao. Ukizingatia Mwanza ni mkoa wa pili kwa mapato Tanzania, na Mbeya ni mkoa wa tatu kwa mapato Tanzania
Kingine suala la kufukuza Wamasai Ngorongoro ili kumpa Mwarabu awekeze, au CCM kushindwa kusimamia kitu muhimu kama bandari na kuwapa kampuni ambayo hata si ya Kitanzania ndio iwe responsible na bandari
Pia ni kama CCM imeshafeli kuhusu kutatua suala la ajira, pande zote tu kuajiri watu pamoja na kuweka mazingira rahisi ya kujiajiri. Hii ni one of their biggest failures hawa CCM, umasikini unaongezeka kwa idadi.
Kingine kwa nchi kama Tanzania uchumi kukua kwa 4% ni vichekesho. China wakati wananchi wake masikini ilikuwa inakua hadi kwa 11% kwa mwaka ndio waka achieve maendeleo ya haraka. Sisi tunashangilia asilimia 4 sijui 6
Halafu mpangomji CCM mmefeli pakubwa sana, miji yote Tz inajengwa shaghalabaghala na viongozi wa CCM ndio wamejaa bungeni.
Tukija kwenye demokrasia ndio kabisaa, hamfai nyie watu. Kwanza kuintroduce "machawa" kwenye siasa, hapa ndio mlipofeli big time. Mnazidi kuchukiza wananchi
Nchi ina matatizo mengi sana na hatuoneshi effort kuzitatua. Mimi sijali kama viongozi ni CHADEMA au CCM, ni vile tu naumia kuona viongozi wa sasa mlivyo hamuipendi Tanzania, viongozi wenye akili wako serious kuziendeleza nchi zao ila huku (ambao ndio CCM) wako busy kuididimiza nchi yao. Maendeleo 20% ufisadi 80%
Gentleman,
kuna vitu ukitamani kuvibadilisha huhitaji mihemko, makasiriko wala ramli.

ni discipline katika kubuni, kupanga na kutekeleza mipango mikakati ya mabadiliko unayotamani.

kwa porojo kama hizo za mtoa hoja mahususi mezani, it's just useless and completely nonsense narrative, it can never work anywhere in the world 🐒
 
Hizo mbinu alizong'olewa nazo kaburu usidhani zinapatikana mbinguni.. watz hawajaamua tu kuzitumia.. siku wataamua liwalo na liwe.. ni suala la muda tu
wewe piga ramli zako zote,
but sahau mapema sana kuhusu kuondoa CCM madarakani Tanzania gentleman :pedroP:
 
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.

Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali
2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya miaka mingi ya majigambo ya uchumi wa kijamaa..
3. Kuharibika kwa uchumi ni dalili kuwa mambo hayako sawa katika taasisi na uongozi wa nchi.
4. Kila taasisi ni feki, feki, feki: nitafafanua:
  • Bunge feki, halina uwezo wa kuidhibiti serikali, utungaji sheria ni feki ili tu kudhibiti maskini. Hakuna sheria inatungwa kwa watu wenye pesa tena haram.
  • Mahakama feki kuanzia majaji hadi wafagiaji, hawa wapo kuwadhibiti maskini wasio na pesa za kununulia haki. Ni feki kiasi kwamba CCM ndo inaamua 'funga huyu, achia huyu' na wala siyo sheria.
  • Jeshi na vyombo vya ulinzi feki, feki. Hivi vyombo viko kwa ajili ya kulinda kundi dogo la CCM na si vinginevyo. CCM ndo inaamua linda huyu, kamata huyu, uwa huyu. Hakuna sheria hata kidogo.
  • Taasisi feki, vyuo vikuu feki, vyuo vidogo na shule za chini feki kabisa. Mafunzo feki, kwa ajili ya kuwapumbaza wanaofundishwa humo.
Nyuma ya uchafu huu, yuko CCM. Haya ma uchafu yote ni ya maksudi na hakuna linalotokea kwa bahati mbaya.
CCM ni kina nani? Hili ni genge la watu wenye roho mbaya, wabinafsi na wako tayari kuuwa mtu yeyote atakayegusa maslahi yake. Ni genge lenye hofu kubwa kutokana na kwamba hawako tayari kuona mema ya nchi waliyoyapata kutoka na uporaji yakiwaponyoka.
Hawa mafias kila siku wanahubiri amani lakini mioyoni mwao wamejaa husda, wanabuni mbinu ya kuwadhibiti watz ili waendelee kuwa kama ng'ombe wakati wao wakineemeka na jasho la wananchi.
CCM inashirikiana na mabeberu kuibagaza Tz. Mabeberu wana share uzoefu wao katika uporaji wa raslimali za nchi nyingine, wanatoa mbinu na pesa nyingi sana kwa hili genge ili liendelee kufanikisha uporaji hapa nchini. Matokeo yake nchi inakuwa kama iko vitani, vita vya kimya kimya.
Wajibu wa mwananchi ni nini?
Bahati mbaya, wananchi wamedhulumiwa haki yao ya kupata elimu bora, kwa maksudi kabisa, ili wasitambue hujuma za CCM dhidi yao. Walioweza kutambua hizi hujuma na kuzipinga wazi wazi, wamepata madhara makubwa sana, hadi saa nyingine kupoteza uhai.
CCM ni genge la fitna haswaa... watatafuta jamba lolote hata la hovyo kuwafanya wananchi wasikumbuke madhira yaliyosababishwa na hizi mumiani nyonya damu.
Hofu yangu ni kwamba ikiwa wananchi hawatapata njia rahisi ya kuondokana na CCM mafia kwa amani, basi Tz inaweza kutumbukia katika machafuko makubwa sana, ambayo tutajutia kwa karne nyingi zijazo.

CCM ni wakati sasa wa kuondoka kimya kimya kwa sababu kama ni wizi au kufanikisha wizi, hakuna ambacho hamjaiba. Nawaomba kila mtanzania, kwa kadri ya kila mtu alivyojaaliwa, kwanza apate picha kamili, kisha afahamu kwamba bila kuondoa CCM, ndoto zake ziko mashakani kwa kiwango kikubwa na hatlzitakuwa kama anavyotarajia. CCM wanachojali ni kuendeleza 'inner circle ' yake ili ibaki hivyo karne nyingi zijazo.
Kuendelea kuwepo CCM halafu tukiwa na matumaini ya Tz iliyo bora ni kujilisha upepo , ni kuendeleza ufeki.
Jumapili njema
5. Mtoa hoja naye ni feki. Akiambiwa aandamane barabarani kuyadai hayo anayotaka yawe anaogopa eti Polisi feki watamshughulia. Anaamua kuja JF na jina bandia halafu anajiita mdai haki na maendeleo! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom