Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi...
38 Reactions
136 Replies
4K Views
Haya ni matokeo ya Rais Magufuli, huyu ndio aliamua kudogosha 'Hadhi ya Makamo wa Rais'. Anatokea Mpuuzi mmoja anakuambia 'Mamlaka inatoka kwa Mungu, Tumuachie Mungu tu' Aiseee tupambanie KATIBA...
11 Reactions
29 Replies
632 Views
Mungu ananilinda, Dkt samia suluhu ndo raisi wa nchi na Jakaya Kikwete baba wa taifa aliebaki yupo mzima wa afya wacha waandamane wataisoma number Moja ya vitu nashukuru Mungu ni uwepo wa Rais...
5 Reactions
27 Replies
427 Views
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, anayeshughulikia masuala ya Elimu, amesema "Waajiriwa wote lazima wafanye kazi miaka mitatu...
0 Reactions
11 Replies
586 Views
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa na Star TV. Miongoni mwa hoja iliyonigusa ni hii kuhusu uwezo wa media zetu za Tanzania kufanya stories za uchunguzi...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake. Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri. Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari. Katibu Mkuu wa...
16 Reactions
40 Replies
2K Views
Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani. Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa...
1 Reactions
20 Replies
388 Views
Ajali ya moto hapa ni Faulu microfinance Shekilango - DSM - Tanzania muda wa tukio ni saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki. (16:00eat) mashuhuda wamemwambia mwandishi wa mtawala radio kuwa...
1 Reactions
6 Replies
254 Views
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Donald Felix Mwembe, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche akubali kukaa mezani na Watawala kwa ajili ya kufanya maridhiano ili kusaidia Mwenyekiti...
6 Reactions
102 Replies
1K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Werema amemwambia mwandishi Balile kwamba wewe si muandishi wa habari za uchunguzi bali ni muhemea kodi ya pango. Jaji Werema alijibu hivyo baada ya mwandishi...
4 Reactions
80 Replies
11K Views
Akijibu swali kuhusu kama anaridhishwa kwa mwenendo wa bima ya Afya nchini Rostam Aziz amesema yeye ndio muasisi wa NHIF na hadi sasa anaridhika ila anaomba Wananchi walipe kodi ili kuipa Serikali...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
▪️Kilimanjaro Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasalimu Wananchi wa Mbuyuni, Wilayani Moshi waliokusanyika kumlaki akiwa katika ziara binafsi mkoani...
1 Reactions
5 Replies
356 Views
Sijajua bado, kwanini mtu licha ya kusoma sana lakini bado anakuwa na akili za kufikirika ambazo zimekosa mental autonomous, Mtu anajua kabisa chadema hawana hoja za kwann wapigiwe kura lakini...
7 Reactions
68 Replies
1K Views
Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa . 1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru. 2. Serikali ya Samia imetengwa...
7 Reactions
14 Replies
331 Views
Wanabodi, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Zanzibar sio nchi...
4 Reactions
21 Replies
252 Views
Sasa, unaweza uone unaweza kuwabishia hao Masadukayo. Lakini ukweli ni kwamba, umetegwa na wanajipanga kukuundia jambo Ondoka na rejea ulipokuwa kwa amani kabisa. Mshika mpini daima hupenda...
4 Reactions
4 Replies
215 Views
Kwasasa kusema Tanganyika ni kama haramu
1 Reactions
2 Replies
83 Views
Tujiandae na Rais wa kwanza mgogo kwenye nchi muda wowote na saa yoyote ile!!!!!!!!!
2 Reactions
11 Replies
454 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida ameeleza kwa undani sababu ambazo anasema zilipelekea Chama hicho kumfuta Uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais na...
0 Reactions
3 Replies
132 Views
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua...
3 Reactions
60 Replies
429 Views
Back
Top Bottom