Chadema, Publicity haitoshi

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,882
2,762
Kwa muda sasa mara baada tu ya uchaguzi, cdm imeingia katika mkakati kamambe wa kuwadaisha wananchi haki zao za msingi (zinajulikana) na kuichachafya ccm hadi kufikia hatua ya kuitwa wahaini. Ni hatua njema sana (si ya kuitwa wahaini). cdm kinahitaji wanachama sasa zaidi ya mashabiki. Msisubiri waje kwenye ofisi zenu. Tunatamani kuja na wakati mwingine hatujui ofisi ziko wapi. Kubwa zaidi ni malimwengu kutubaka kama si kutukaba. Mbinu mnayopaswa kutumia sasa ni sales promotion ili kuwafikia watu katika vitongoji vwao then muuze kama si kugawa kadi za uanachama, kama yafanyavyo makampuni ya simu. Try this na u will tell me. Peeeeeeepl.....!!!
 
Back
Top Bottom