JWTZ ibadilishwe jina: Hii ni Hatari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JWTZ ibadilishwe jina: Hii ni Hatari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by geophysics, Mar 11, 2011.

 1. g

  geophysics JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa askari mmoja kuibiwa pochi na watu wasiojulikana.
  Mwanamke huyo aliibiwa pochi hiyo huko Jang'ombe katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
  Habari kutoka eneo la tukio zimeeleza askari hao walianza kupiga watu kwa zamu katika mitaa ya Jang'ombe, Urusi na Mpendae majira ya saa 1:00 jioni juzi na kusababisha watu kukimbia ovyo na maduka kufungwa. source: ippmedia.com 11/03/2011

  Kwa mlolongo wa matukio yanayoyoendelea dhidi ya wananchi na Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) napendekeza jina la Jeshi hili libadilishwe.
   
 2. K

  Kamarada Senior Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu waweza kuwa sahihi, Plz pendekeza jina wanazuoni walijadili !
  Binafsi napendekeza lifutwe kabisa, TZA tusiwe na jeshi :juggle:
   
 3. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi la Wauaji Tanzania au Jeshi la Wasiojali wa Tanzania JWTZ Mambumbu:embarassed2:
   
Loading...