CDM wafuateni wapiga kura huku...

ishalua

Member
Dec 3, 2008
10
0
Kwa mujibu wa Sensa ya Mwaka 2002, ramani hii inaonyesha vijiji/mitaa iliyosajiliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sasa hapa ni kuwa strategic! Mmeanza vizuri na target areas za Kanda ya Ziwa!! Maeneo mengine ya kwenda ni kama yanavyoonekana kwenye ramani. Kwenu CHADEMA strategists. Mpaka kieleweke!

Maeneo ya Wapiga Kura 2015.JPG
 
Back
Top Bottom