Upe tafsiri msemo huu katika medani za siasa za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upe tafsiri msemo huu katika medani za siasa za Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbavu za Mbwa, Mar 11, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Hata ukinawa, kula huli
   
 2. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hata mkiandamana na kuchochea uasi, dola hamshiki ng'o!!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kifupi ni uchakachuaji, sina shaka hata mwaka jana ulifanya kazi, coz wapinzani wengi walinawa bt kula duh!
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hata tukinawa waroho/walafi watatumalizia tu!
   
Loading...