Wasira asumbuliwa na maandamano ya Chadema

Anasema Mbowe kama anataka kumshtak rais siyo kwa wananch ila anapaswa kumshtak bungeni
 
Tyson usitutishe,anatumia muda mwingi kuongelea chadema kuliko hotub ya JK,solidality forever.
 
huyu mwandishi hajui kuhoji au ndo mambo ya tbc? Anauliza ujinga na wasira anajibu ujinga.
 
Mlitegemea kuna chochote cha maana kutoka kwa huyo mpuuzi? Wanatakiwa kujibu hoja za CHADEMA kwa vitendo sio kuleta pumba
 
Anasema hawawezi kukataza magazeti kuandika wanachotaka, kwa kuwa wanatafuta soko so by simple logic Hawapaswi pia kuwakataza chadema kusema wanachotaka koz wanatafuta kuwakomboa wananchi.
 
Back
Top Bottom