Chama cha msimu cdm chaichanganya serikali yenye chama cha kudumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha msimu cdm chaichanganya serikali yenye chama cha kudumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lu-ma-ga, Mar 11, 2011.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kama ni maajabu basi hili litakuwa moja ya maajabu ya dunia.Hakuna aliyetegemea kuwa CDM kingeonekana mwiba mkali kwa serikali ya CCM katika kipindi cha muda mfupi kiasi hiki.Mikakati na mbinu za kisayansi zilizotumiwa na CDM kuanzia 1 octoba 2010 hadi 28 Februari 2011ni ushuhuda tosha wa maajabu haya.Hii ina maana kuanzia mwanzo wa kampeni mwaka jana hadi siku ya mwisho wa maandamano ya CCM ni kipndi ammacho kimebadilisha mwelekeo wa siasa za Tanzania na kukifanya chama kilichojulikana kama chama cha msimu kuwa tishio hadi kuonekana CCM ni chama cha upinzani.

  Makala ya Makwaia wa Kuhenga amenena kwa mshangao kuwa "inawezekanaje chama chenye wabunge 48 kutishia uhai wa chama chenye wabunge 100+ tena chama chenyewe kinashilia DOLA ya nchi".

  Tulichojifunza hapa ni kwamba sasa CCM inaelekea mwisho kuweza ku-revive hiyo chart inayo decline drastically ni maajabu yanayotarajiwa pia.
  Umaarufu wa CCM KWA SASA UNAPOROMOKA SAMBAMBA NA KUPOROMOKA KWA SHILING YA TANZANIA(at the same rate anyway)
   
 2. m

  masaiti Senior Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbona mambo ndiyo yanaanza. Wee vuta pumzi, siku chache zijazo ccm wataparurana wenyewe, kufukazana na kukiua chama kabisa.
  CDM ina wabunge wengi kuliko ccm kwani kichwa kimoja cha CDM ni zaidi ya wabunge 10 wa ccm, hivyo kama CDM ina wabunge 48 ni zaidi ya wabunge 480 wa ccm.
   
Loading...