Wanasiasa na wasomi kuweni mfano.

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Wanasiasa na sisi tunaojiita wasomi tumekuwa tunaongea sana . lakini tunashindwa kuonyesha mifano japo mara moja au masaa machache kwa wiki.


  • Ni mwanasiasa , kiongozi u msomi gani yuko tayari kuendesha baiskeli au pikipiki japo jumamosi au jumapili au akiwa anafanya safari ndogo ndogo?

  • Je wanasiasa , wasomi wa vyo vikuu wananapozungumzia uchafuzi wa mazingira na namna ya kupunguza hawajui carbon foot print ya VX ni kubwa kuliko ile Vitara au pikipiki. Kwa nn wasi mfano wa japo siku moja kwa wiki?

  • Je kuendesha baaiskeli haiwezi kuwa zoezi la kuimarisha afya ya mtu na wakati huo huo kuwavutia jamii na kupunguza msongamano wa magari
Kwa afrika baiskeli au pikipiki inaweza kuwa ni chombo ambacho kinaonekana status yake niya kimasini haifai kutumiwa na viongozi lakini wenzetu tunaowaiga wanafanya hivi .

Meya. wa jiji la london anatumia baiskeli kama usafiri wake mkuu.Na hii ni yeye kuwa mstari wa mbele kuonyesha jamii yake anatekeleza kwa vitendo baadhi ya solutions za kupunguza foleni na uchafuzi wa mazingira.


  • Kwa nini wizara ya mazingira isiwe mfano wa kupiga marufuku mashangingi kwa misingi ya carbon foot print yake . Je rais au nani atachukia? wanune gari zenye foot print ndogo pikipiki na baiskeli

Wanasiasa na wasomi wa Tanzania tujaribu kuishi kwa vitendo na tuwe mfano

Hiyo ni changamoto ya leo.
 
Njia za kuhepuka uchafuzi wa mazingira (Cleaning Development Mechanisim) tunaifanya sana hata kwenye development projects zetu nyingi. Na wananchi wa kawaida wengi ndiyo maisha yao. Kama wasomi, sasa tunapigania kuweza kunufaika na biashara ya hewa ya makaa (carbon trade exchange) ambayo watu vijijini wanaotunza misitu waweze kunufaika. Africa siyo tishio kabisa katika kutengeneza hewa ya makaa, ila tunavikwazo vingi kivigezo ili kuweza kunufaika kuhesabiwa carbon credit. Tunaendelea kuwaelimisha viongozi wetu, waweze kutuma ujumbe ambao utaweza kwenda kutetea hoja zetu badala ya kwenda kufanya shopping. Habari hii umeniumiza roho sana hasa kwenye ule uwakilishi wetu huko Copenhagen summit for shopping. I thought you should start by asking the deligates, what are the feedback and what should we implement to go forward before the next summit.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom