watanzania munaziita KURA wao wanaziita KULA

Mar 10, 2011
45
0
Viongozi wetu wanagombea ili kujaza matumbo yao ndio maana wakiingia huwa hawawakumbuki tena waliowaweka madarakani.. na hiyo ndo hali halisi ya viongozi wetu.. ofisi za umma wanazigeuza mahala pa kutokea kimaisha..
mungu hayunanyi viongozi wabadhirifu..
 
Back
Top Bottom