Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini CCM wako tayari kufanya chochote kubaki madarakani kwa gharama yeyote hata kwa kuiba kura pamoja na kutokubalika na wananchi wanaopiga kura. Hivi ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi: Hii ni stori kuu ya gazeti la Mwananchi la leo kuhusu malumbano ndani ya chama tawala. Hofu yangu ni kwamba CCM ni chama tawala ambacho kinapoteza umaarufu wake mbele ya umma kutokana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bado tumetawaliwa na UTUMWA wa KIFIKRA, kwamba HATUWEZI na VYETU HATUVITHAMINI! WAHENGA WALISEMA "UTU BUSARA, UJINGA HASARA' haikutosha wkaongeza "MDHARAU KWAO MTUMWA" Leo hii Mtanganyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi tujiulize swali hili maana kwa sasa linaonekana kuwa muhimu hasa baada ya kuonekana kwamba Chadema inakubalika kwa kasi sana hapa nchini -- hasa kwa vijana waliokata tamaa. Hivi kati ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali inakusudia kupelaka muswada ktk kikao kijacho cha Bunge ili kuongeza adhabu kwa watu wanaokutwa na makosa ya uchawi, ikiwamo kutozwa faini ya Sh1 milioni na kifungo jela. Akichangia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ , Pieter Uys, wakati wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mjadala wa katiba kuhusu maudhui na muondo wa katiba utakuwa jumamosi'hii wote tunakaribshwa'
0 Reactions
6 Replies
1K Views
VIONGOZI wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamezidi kubanwa na mahakama baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kuwafungulia mashitaka mapya yanayohusu maandamano ya Arusha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
je kwa mtindo wa wanaccm kurumbana,staili hii CHAMA TAWALA hawawezi kujimaliza kisiasa wao kwa wao? habari kwa unyeti huwa nazidabika Unique Entertainment
0 Reactions
59 Replies
6K Views
wadau hebu tune itv televisheni zenu mcheki Sera za Mh. Rais wetu, Waziri wake wa Sera, Mipango na Uwekezaji Mary Nagu anawakilisha! Sijui atasema nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
28th March 2011 Zanzibar House of Representatives council secretary Ibrahim Mzee has said the decision by Chadema not to include CUF Members of Parliament in the Union Shadow Government...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Haipiti siku moja bila kuona posts za shutuma baina ya vyama - CCM hivi, CDM vile, CUF hivi na vile na posts nyingi katika hizi ni kushutumiana vurugu na udini. Sioni kama posts hizi zinaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAWAZIRI Vivuli wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameishambulia vikali serikali ya Rais Jakaya Kikwete juu ya utawala wake, huku wakimpa siku 90 Waziri wa Ulinzi, Dk. Hussein...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF CCM kumiliki baadhi ya majengo na viwanja kama vya mpira ambavyo vilijengwa na wananchi kushirikiana na serikali iliyokuwa madarakani je ni halali? MY TAKE; Je ccm kusema ni vyake na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika swala la ununuzi wa mashangingi ya bei mbaya kwa ajili ya viongozi sirikali waziri mkuu Pinda alishia kulalama tu. Hakuwa na ujasiri(GUTS/BALLS? kupiga stop. Katika swala la bomoa bomoa ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vitongoji katika jimbo la babati mjini umemalizika huku chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kikiibuka mshindi kwa kuongoza mtaa mmoja na vitongozi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
naomba msome na kulinganisha na Tanzania yetu "When I was a boy I was told that anybody could become President; I'm beginning to believe it. ~Clarence Darrow ningependa iwe kwenye kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenye katiba mpya lazima tuweke sheria Ndugu wa Rais atakayechaguliwa hawaruhusiwi kugombea Urais au Madaraka yoyote Nchini itasaidia Ubadhirifu usawa na ulafi wa Madaraka na Pesa. Mtoto wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameisulubu CHADEMA kwa kusema kwamba falsafa yake ya Nguvu ya Umma haina maana yoyote kwa watanzania. Cheyo amesema CHADEMA watambue kuwa Kikwete ndiye Rais halali...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Sasa imekuwa kawaida saana kila asubuhi watu kukejeli dini za watu humu jamvini na hasa waislam wakizidi kukejeliwa kila kukicha. Hivi sasa cha muhimu si hoja bali ni nani kazungumza na imani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…